Mkoani FM
Madhira ya wanahabari wanawake Pemba
29 November 2024, 3:31 pm
Simulizi hii inaelezea mambo mazito wanayokumbana nayo waandishi wa habari wanawake wakati wa kutekeleza majukumu yao kutoka kwa watu mashuhuri mfano maneno machafu na dharau hali inayopelekea baadhi yao kuona uandishi wa habari si kazi rafiki kwa wanawake.