Recent posts
13 September 2023, 16:39
Maabara ya madini Chunya
Hii hi maabara ya upimaji wa sampuli mbalimbali za madini ,minelabs iliyopo Halmashauri ya wilaya ya chunya mkoani Mbeya Mwanahabari : samweli mpogole Zaidi ya shilingi milioni 900 zimetumika kujenga miundombinu ya maabara ya upimaji wa sampuli za madini (Minelabs)…
12 September 2023, 12:39
Wafanyabiashara Mbeya walalamika kuhusu watoza ushuru
kwa taarifa kamili na mwandishi wetu catherine ngobora …..
12 September 2023, 11:14
Halmashauri ya wilaya ya chunya yavuka kiwango cha mapato ya ndani
Makusanyo hayo yanaifanya halmashauri hiyo kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato ambalo lilikuwa ni sh. Bilioni 27.9 katika kipindi cha mwaka 2022/2023 Na Samwel Mpogole Zaidi ya shilingi bilioni 29.8 zimekusanywa kama mapato ya ndani na halmashauri ya wilaya ya…
11 September 2023, 17:01
DC Mbeya awatoa hofu wananchi uhaba wa mafuta
Kumekuwa na hofu kubwa kwa watanzania juu ya uhaba wa mafuta nchini ,hofu kubwa kupanda kwa bei ya nauli endapo kutakuwa na na uhaba wa mafuta nchini by samweli mpogole Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh Beno Malisa amewatoa hofu…
11 September 2023, 12:50
Wananchi jijini Mbeya wakanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni tatizo la maji
Kumekuwa na mkanganyiko juu ya upatikanaji wa maji baadhi ya maeneo mkoani Mbeya hasa kipindi hiki cha kiangazi kitendo kinachopelekea baadhi ya wananchi kulalamika kukosekana kwa maji. Na Samweli Ndoni Baadhi ya wananchi wa kata za Isanga na Iganzo wamekanusha…