Recent posts
27 September 2023, 13:07
Wanafunzi marufuku mikesha ya ngoma(sherehe) za usiku
Baadhi ya wazazi wamekuwa wakiwahusisha watoto wadogo kwenye sherehe hali inayopelekea watoto kubadilika tabia na wengine kushindwa kuendelea na masomo na kuwa wanenguaji katika sherehe hizo. Na Samwel Mpogole Afisa Tarafa wa Sisimba Jijini Mbeya John Mboya amewataka wazazi na…
26 September 2023, 16:20
Vibaka watoto tishio Ndobo Kyela
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanafunzi wilayani Kyela kujiingiza katika vitendo viovu na kupelekea kushindwa kuendelea na masomo kutokana na sababu mbalimbali na wengine kujiingiza katika wimbi la uhalifu. Na Samwel Mpogole.. Imeibuka tabia kwa baadhi ya vijana katika…
25 September 2023, 17:52
Wananchi waishio mpakani waomba elimu zaidi chanjo ya polio
Baadhi ya wananchi waishio mipakani mwa Tanzania na Malawi wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu ya chanjo ya polio kwani baadhi yao wameshindwa kuwapeleka watoto wao kupata chanjo hiyo. Na Samwel Mpogole Wananchi waishio mpakani mwa Tanzania na Malawi wameiomba serikali…
22 September 2023, 13:10
Viongozi wa dini wajitosa kuokoa ndoa
Unapoingia katika ndoa au mahusiano huwezi kufikiria hata kidogo kwamba asilimia kubwa ya ndoa au mahusiano hayo kufeli, ndoa au mahusiano yanaweza kufeli kwa sababu nyingi na iwapo ndoa yako ilianguka na kufeli sababu kubwa yaweza kuwa na tofauti nyingine.…
22 September 2023, 12:44
RC Mbeya awaonya wananchi wanaopotosha kuhusu chanjo ya polio
Maambukizi ya virusi vya polio ni maambukizi yanayoathiri mfumo wa neva na huweza kusababisha udhaifu wa misuli au kupooza,Ugonjwa huu ni adimu, kwa kuwa chanjo imepunguza uwepo wa virusi hivi katika nji nyingi. na mwanaisha makumbuli Mkuu wa Mkoa wa…
22 September 2023, 12:21
Jeshi la polisi Mbeya lawataka wanandoa hasa wanaume kutoa taarifa za ukatili
Ukatili ni hali ya kusababisha kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwingine, ilihali suluhisho la wazi linapatikana kwa urahisi. Na Mwanaisha Makumbuli Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga amesema kuwa jeshi la polisi kupitia dawati…
20 September 2023, 14:14
Wanahabari wapewa mafunzo ya habari za afya kuibua yaliyojificha kwenye sekta ya…
Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii ESRF Tanzania inaendesha mafunzo kwa waandishi wa habari wa Radio Jamii nchini ili kusaidia katika juhudi za kuboresha huduma za afya katika jamii na isack mwashiuya Mafunzo hayo ya siku 4 yameanza rasmi…
20 September 2023, 13:09
Uhaba wa wahudumu wa afya katika kijiji cha mtanila chunya ni kero kwa wananchi
Kwa mujibu wa sera ya maji ,Maji ni muhimu kwa viumbe vyote duniani, bila maji hakuna uhai. Aidha maji ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii.Upatikanaji wa maji safi na salama kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na usafi…
15 September 2023, 19:35
Akina baba wanyooshewa kidole kutoshiriki kikamilifu malezi ya watoto
Na Mwandishi wetu Isack Mwashiuya Imebainika kuwa ‘ubize’ wa wazazi na ushiriki mdogo kwa akina baba katika malezi ya mtoto tangu anapozaliwa ni moja kati ya sababu ya watoto wengi kuwa na uwezo mdogo wa uelewa na kuwa wazito katika…
15 September 2023, 18:21
Vijana mkoani Mbeya wapewa mbinu za kujikwamua kiuchumi
Mafunzo ya uelimishaji rika kwa vijana yatasaidia kuondoa changamoto katika masuala ya afya na uchumi. Na mwandhisi wetu Samwel Mpogole Vijana wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata mafunzo ya uelimishaji rika kwa lengo la kusaidia vijana wengine waliopo kwenye jamii kuepukana…