Recent posts
7 November 2023, 13:50
UWSA kula sahani moja na watumishi waomba rushwa
Na Samweli Ndoni Uongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jiji la Mbeya (Mbeya-UWSA) umetangaza kula sahani moja na watendaji wazembe ikiwemo wale wanaojihusisha na vitendo vya kuwaomba rushwa wateja ili wawape huduma. Hatua hiyo imetangazwa na…
4 November 2023, 17:39
CCM Mbeya wajipanga kumpokea Dk.Tulia
Mwandishi samweli ndoni Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mbeya imempogeza Spika wa Bunge Dk. Tulia Acksoni kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa umoja wa wabunge duniani (IPU).Dk, Tulia ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbeya…
4 November 2023, 17:26
CCM Mbeya yamtambulisha katibu mwenezi mpya
Mwandishi : samweli ndoni Chama Cha Mapiduzi (CCM) mkoa wa Mbeya kimemtambulisha katibu wa siasa na uenezi wa Chama hicho ngazi ya mkoa Christopher Uhagile, akichukua nafasi ya Bashiru Madodi ambaye amepangiwa majukumu mengine ya kichama. Akimtambulisha kwa waandishi wa…
4 November 2023, 10:14
DC Mbeya atoa onyo kali wanaotaka kuvuruga amani
Mwandishi Samweli Mpogole Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Beno Malisa ametoa angalizo kwa watu wanaotaka kuvuruga amani iliyopo na kuwataka kuacha mara moja kwani Mbeya ni kitovu cha amani na biashara Ameyazungumza hayo kwenye mahafali ya kuhitimu kwa mafunzo ya…
3 November 2023, 20:50
Polisi Mbeya mguu kwa mguu kutoa elimu ya ukatili
na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwenye shule za msingi,sekondari na vyuo ili kukomesha vitendo hivyo ambavyo vimeanza kushamiri nchini Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga ameongoza Dawati…
3 November 2023, 20:25
RC Homera ataka wahitimu TIA kuwa na nidhamu ya fedha
na ,Prince Fungo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amewataka wahitimu wa taasisi ya fedha ya uhasibu (TIA) kampasi ya Mbeya kutumia maarifa waliyoyapata chuoni hapo Kwenda kutatua changamoto za kiuchumi kwenye jamii ikiwemo kuwa na nidhamu ya fedha…
9 October 2023, 13:39
Wananchi wa ilembo halmashauri ya wilaya ya mbeya waondokana na adha ya umeme
Serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza miundombinu katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo elimu ambapo wanafunzi wamekuwa wakipata elimu na kutimiza ndoto zao Na Samweli Mpogole Wananchi wa Kata ya Ilembo Halmashauri ya Wilaya Mbeya wameishukuru Serikali kwa Kuwafikishia huduma ya Umeme…
2 October 2023, 18:22
Viongozi wa dini, wananchi watakiwa kuliombea taifa
Watanzania na waumini wa dini wametakiwa kuliombea taifa na kumwombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha nchi inakuwa ya amani na utulivu. Na Samwel Mpogole Watanzania na waumini wa dini ya kikristo wametakiwa kuliombea taifa na Rais…
2 October 2023, 17:55
Mapogoro walia kukosa huduma ya mawasiliano
Kukosekana kwa mawasiliano ya kutosha kunapelekea baadhi ya wananchi hasa waishio vijijini kushindwa kuwasiliana na ndugu zao pamoja na uzalishaji mali kudorola na kushindwa kufikia malengo yao. Na Mwanaisha Makumbuli Baadhi ya wanakijiji wa Mapogoro halmashauri ya wilaya ya Chunya…
28 September 2023, 12:56
Serikali kushugulikia changamoto za viziwi
Watu wenye uziwi wamekuwa wakipitia changamoto mbalimbali za kijamii hali inayopelekea kushindwa kufikia malengo yao Na Samwel Mpogole Wizara ya afya imesema kuwa inatambua changamoto zinazo wakabili walemavu hivyo inaendelea kushirikiana na wadau kuhakikisha wanashughulikia kikamilifu. Hayo yameelezwa na Dibogo…