Recent posts
27 April 2024, 16:39
Highlands FM wanolewa matumizi ya teknolojia, maadili
Tadio imekuwa ikitoa mafunzo mara kwa mara kwa wafanyakazi wa redio wanachama wake na kwa sasa inatoa mafunzo ya utangazaji wa mtandaoni hususani matumizi ya mitandao ya kijamii na maadili ya uandishi wa habari. Na John Ilomo Mhariri wa Radio…
25 April 2024, 18:31
Latra mbeya kutatua changamoto za abiria
22 March 2024, 16:46
TBL yajitosa kutunza mazingira
Na Samwel Ndoni,Mbeya Wakazi wa jiji la Mbeya wameshauriwa kupanda miti rafiki na maji ili kukabiliana na tishio la mabadiliko ya tabianchi ambayo yameendelea kuathiri mazingira na vyanzo vya maji nchini. Wito huo umetolewa na Meneja wa kiwanda cha kuzalisha…
21 March 2024, 14:57
CST yatenga Sh 2b kupiga jeki elimu Nyanda za Juu Kusini
Na Lameck Charles Highlands Fm Radio Mbeya Taasisi isiyo ya kiserikali ya Chilid Support Tanzania imezindua mradi wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2 mradi wa “Peleka Rafiki zangu Shule” mradi unaolenga kuendelea kutoa mafunzo ya elimu kwa walimu…
19 February 2024, 11:07
Madereva bajaji wanawake wadai kufanyiwa ukatili
Na Mwanaisha Makumbuli, Mbeya Madereva bajaji wanawake katika halmashauri ya jiji la Mbeya wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia na baadhi ya wanaume ikiwemo kutolewa lugha za fedheha na matusi, kitendo kinachowakatisha tamaa na kujiona hawastahili kufanya shughuli hiyo.…
4 January 2024, 14:07
Shule mpya wilayani Chunya kuwakomboa wanafunzi
Tayari tumekwisha Jenga vyumba 8 vya madarasa, ofisi za walimu mbili, jengo la utawala, maktaba, jengo la kompyuta na maabara tatu ya kemia, fizikia na biolojia Na Samwel Mpogole Shule mpya ya Sekondari ya Kata Kambikatoto wilaya ya Chunya Jimbo…
2 January 2024, 17:20
CUCoM sasa ni chuo kikuu
Mwandishi wa Habari Highlands fm Radio Tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) imekipa hadhi ya kuwa chuo Kikuu, Chuo cha kanisa Katoliki (Cucom), Kwa sasa kitatambuliwa kama Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUCoM). Awali chuo hicho kilikuwa kishiriki na chuo cha…
16 December 2023, 16:26
‘Jizingatie’ kuwanusuru vijana na maambukizi ya Ukimwi
Na Prince Fungo Mwandishi wa Habari Highlands Fm radio Tanzania inaweza kufikia lengo la kuondokana na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi ifikapo mwaka 2030 ikiwa wananchi watatambua umuhimu wa kupima afya zao. Pia wamesisitizwa ili kufikia lengo hilo la…
4 December 2023, 17:46
Uyole watumia vichaa kutupa taka mitaroni
Na Samwel Ndoni Baadhi ya wakazi wa bonde la Uyole jijini Mbeya wanadaiwa kuwatumia watu wenye ulemavu wa akili ‘vichaa’ kutupa taka kwenye makazi ya watu na mitaro huku wakiwalipa ujira wa sh.500. Hatua hiyo inatajwa kukwamisha juhudi za usafi…
4 December 2023, 17:32
Wakulima wa pareto watahadharishwa kuepuka vishoka
Mikoa ya Mbeya na Songwe ndiyo wazalishaji wakuu wa pareto na wakulima wamepewa wito kuuza zao hilo kwa wanunuzi wenye uhakika. Na Lameck Charles Wakulima wa zao la pareto katika mikoa ya Mbeya na Songwe wametakiwa kuepuka walanguzi (vishoka) wanaonunua…