Recent posts
26 October 2023, 10:21 am
Utafiti maskulini wagundua lishe za wanafunzi ziko chini masheha wapewa kazi…
Wizara ya elimu na mafunzo ya amali Zanzibar kwa kushirikiana na wizara ya afya watatoa virutubisho vya lishe kwa wanafunzi kwa lengo la kuimarisha afya zao. Na Amina Masoud Masheha kisiwani Pemba wametakiwa kutoa mashirikiano katika kampeni ya utoaji wa…
26 October 2023, 9:36 am
Wazazi wanatakiwa kuwaandikisha skuli watoto wao wenye ulemavu Pemba
Bado baadhi ya familia kisiwani Pemba wanawakosesha haki yao ya msingi ya kupata elimu watoto wao wenye ulemavu. Na Khadija Ali Wazazi na walezi kisiwani Pemba wametakiwa kuwaandikisha watoto wenye ulemavu skuli ili kupata haki yao ya msingi ya elimu…
24 October 2023, 8:47 am
Viongozi wa dini watakiwa kufikisha elimu ya lishe Pemba
Kuwepo kwa upungufu wa virutubisho lishe kwa jamii wizara ya elimu na mafunz, ya amali kwa kushirikiana na wizara ya afya Zanzibar kuwasaidia wanafunzi kuwapatia virutubisho hivyo kwa lengo la kuijenga jamii yenye afya njema. Na Amina Masoud Viongozi wa…
11 October 2023, 5:28 pm
Ni athari zipi kiafya usipotumia uzazi wa mpango?-Kipindi
Mskilizaji sayansi imeeleza uzazi wa mpango ni njia muhimu ya kukuza afya ya mama na mtoto, uzazi wa mpango ni njia rahisi ya kunyonyesha mtoto hadi kufikia miaka miwili. Licha ya maelekezo hayo ya dini na ya kisayansi bado jamii…
10 October 2023, 11:03 pm
Serikali kuwapa wakulima mbinu mpya za kilimo Zanzibar
Wakulima Zanzibar wametakiwa kulima kilimo cha kisasa ili waendane na mapinduzi makubwa ya kilimo ulimwenguni ili waweze kujikomboa kupitia kilimo kwa kujihakikishia kupata chakula cha uhakika. Na Fatma Rashid Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othamn Masoud Othmani…
10 October 2023, 5:12 pm
Umuhimu wa kupima afya ya uzazi kabla ya ndoa-Kipindi
Amina Masoud Suala la kujiuliza je, ndoa inashabihianaje na afya, ndoa ni makubaliano ya hiari kati ya mwanamke na mwanamme. Kila anayeingia katika ndoa anahitaji kupata tulizo la moyo wake na hapa wahenga walisemaa tulizo la moyo ni kupata mke…
8 October 2023, 10:26 pm
Kwa mara ya kwanza ndege yenye kubeba abiria 72 kuanza safari Pemba
Kuwepo kwa changamoto ya usafiri wa anga kisiwani Pemba kumepelekea kuengezeka kwa kampuni nyengine ya usafirishaji abiria kwa njia ya anga. Na Fatma Rashid. Wazir wa ujenzi mawasoliano na uchukuzi Dr Khalid Salim Mohd amesema Ujenzi wa uwanja wa ndege…
5 October 2023, 10:23 am
Wanahabari Pemba watakiwa kuibua changamoto za wananchi
Waandishi wahabari kisiwani Pemba wametakiwa kusaidia jamii kupambanana na udhalilisha wa aina yoyote ile sambamba na kutoa elimu juu ya vitendo hivyo ambavyo bado vimo ndani ya jamii. Na Khadija Rashid Jumuiya ya KUKHAWA kisiwani Pemba imezitaka kamati za kuibua…
3 October 2023, 10:55 am
Wahandisi watakiwa kusimamia wakandarasi miradi ya maji Pemba
Kukamilika kwa miradi ya maji safi kisiwani Pemba yanayotarajia kufikia kila kijiji baada ya kukamilika miradi hiyo itafika kila kijiji na kuwafikia wananchi kwa masaa 24 bila ya kukatika. Na fatma Rashid Msimamizi wa huduma za jamii kutoka Ofisi ya…
30 September 2023, 6:03 pm
Kampuni ya MECCO yapewa mwezi mmoja kukamilisha vifaa vya ujenzi wa barabara P…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haijaridhishwa na utengenezaji wa mradi wa barabara ya Chakechake – Wete, ambayo imeshatumia miezi 19 tangu ilipoanza kutengenezwa. Na fatma Rashid Waziri wa ujenzi mawasiliano na uchukuzi Dkt. Khalid Salum Mohd amesema hajaridhishwa na utendaji kazi…