Mkoani FM
2 December 2024, 10:00 am
”FANI YA HABARI SIO KIKWAZO KWA WANAWAKE”
kumekuwa na changamoto kwa baadhi ya wazazi kuwanyima fursa watoto wa kike kusoma fani ya habari kwa kisingizio haina maadili kwa kundi hilo, jambo ambalo si sahihi na kukmkosesha uhuru wake kielimu.