Mkoani FM
Watu wenye ulemavu wa akili kulilia marekebisho ya sheria-Kipindi
28 November 2023, 5:32 pm
Na Muandishi wetu.
Kuwepo kwa mapungufu katika Sheria ya Adhabu namba 6 Sheria ya Zanzibar ya mwaka 2006 pamoja na marekebisho yake namba 6 ya mwaka 2018 (Penal Act no.6 of 2006 as replaced by Penal Act no. 6 of 2018) kifungu cha 116 kinavyochangia kuongezeka kwa vitendo vya udhalilishaji kwa watu wenye ulemavu wa akili kutokana na kuwapa dhamana watu ambao watawadhalilisha watu wenye ulemavu wa akili.