Mkoani FM
Ni athari zipi kiafya usipotumia uzazi wa mpango?-Kipindi
11 October 2023, 5:28 pm
Mskilizaji sayansi imeeleza uzazi wa mpango ni njia muhimu ya kukuza afya ya mama na mtoto, uzazi wa mpango ni njia rahisi ya kunyonyesha mtoto hadi kufikia miaka miwili. Licha ya maelekezo hayo ya dini na ya kisayansi bado jamii inakuwa na uwelewa mdogo kuhusu suala hili kwa walio wengi wanadhani ya k uzazi wa mpango ni kuzaa watoto kidogo na ndipo hapa wanapotumia hule msemo wa Masikini na watoto wake na tajiri na pesa zake na ndio mana Radio yako jamii Mkoani ikakuletea kipindi hiki cha ijue afya yako na mada isemayo athari za kutotumia uzazi wa mpango je kuna athari gani zinaweza kujitokeza endapo wanandoa hawatotumia uzazi wa mpango? ungozana nasi kupata majibu ya suali hayo.