9 July 2024, 17:17

Wananchi waipa heko tume ya ushundani {FCC} nyanda za juu kusini

Na Lameck Charles Highlands Fm Mbeya Wananchi  wilayani kyela mkoani mbeya wameipongeza tume ya ushindani (FCC) Kanda ya nyanda za juu kusini kwa kuendelea kuwapa elimu  kuhusu haki za mlaji na viashiria vya   bidhaa bandia. Wameyasema hayo kwenye maonesho ya…

Offline
Play internet radio

Recent posts

3 October 2025, 12:30

HESLB mguu sawa mwaka wa masomo Novemba 2025

Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu, vyuo vya kati na Samia Scholarship kwa mwaka wa masomo 2025/2026, ili kuhakikisha wanafunzi wahitaji kutoka familia za kipato cha chini. Na Lameck Charles. Serikali…

10 September 2025, 14:10

Child Support yaja na mpango wa elimu jumuishi

CHILD SUPPORT TANZANIA kwa kushirikiana na Hakielimu wamekuja na mpango wa elimu jumuishi wenye lengo la kuyatambua makundi mbalimbali wakiwamo watoto wenye ulemavu Mkoani Mbeya. Na. Isack Mwashiuya Katika kusaidia kutimiza mpango wa serikali wa kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu…

4 September 2025, 12:37

Kudungwa na nyuki kivutio kipya cha utalii tiba asilia Mbeya

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS limeendelea kuwa kivutio baada ya kuongezwa zao jipya la utalii. Na Samwel Mpogole Katika hali isiyozoeleka lakini yenye mvuto wa kipekee, wananchi na wageni wamefurahishwa na…

1 September 2025, 12:25

Jamii yakumbushwa kutembelea vivutio vya utalii

Jamii imetakiwa kutembelea vivutio vya utalii mbalimbali nchini ili kujifunza na kuunga mkono juhudi za uhifadhi wa mazingira. Na Samwel Mpogole Jamii imekumbushwa kuendelea kujenga utamaduni wa kutembelea vivutio vya utalii ili kujifunza, kuburudika na kuunga mkono juhudi za uhifadhi…

6 August 2025, 13:01

Wakulima waaswa kuzingatia ulinzi wa mazingira

Wakulima mkoani Mbeya wametakiwa kuzingatia ulinzi wa mazingira ili kusaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Na Samwel Mpogole .. Wakulima mkoani Mbeya na maeneo ya Nyanda za Juu Kusini wametakiwa kuzingatia ulinzi wa mazingira licha ya shughuli zao za…

24 July 2025, 12:34

Wasimamizi wa uchaguzi watakiwa kutunza siri

Wasimamizi wa Uchaguzi Mkoani Mbeya Wametakiwa kusimamia viapo vyao na kuwa wasiri kwenye kipindi hiki cha uchaguzi ili kuepuka migogoro. Na Samwel Mpogole Wasimamizi wa uchaguzi wametakiwa kuwa waaminifu, kutunza siri za kazi, na kuwa makini na matumizi ya mitandao…

24 July 2025, 10:53

Ngasa: Wananchi Mbeya jihadhari, baridi kali ni hatari kiafya

Kutokana na baridi kali katika baadhi ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hasa Njombe, Mbeya na Iringa, wananchi wametakiwa kuchukua hatua za kiafya ili kuepuka magonjwa yanayosababishwa na hali hiyo. Na Samwel Mpogole Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, hususan…

10 July 2025, 12:48

Takukuru yajikita kulinda maadili dhidi ya rushwa

Vitendo vya rushwa katika uchaguzi ni kati ya vikwazo vya kuwa na uchaguzi unaozingatia misingi ya haki na usawa kwa kuwa vinavyoathiri haki na fursa ya wananchi kuchagua viongozi wanaowataka. Na Samwel Mpogole Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa…

10 July 2025, 12:41

Wananchi wahimizwa kujiunga na bima ya afya

Hakuna anayepanga kuugua au kuumia, lakini afya yako inaweza kubadilika kwa kufumba na kufumbua. Na Samwel Mpogole Wananchi wametakiwa kuhakikisha wanajiunga na huduma za bima ya afya ili kuepuka changamoto za gharama kubwa za matibabu pale wanapopatwa na madhila ya…

About us

Welcome to Mbeya Highlands FM, your premier source for quality radio broadcasting in Tanzania. We are committed to bringing you the best in news, entertainment, and music, and strive to make your listening experience as enjoyable and informative as possible.

Our team of dedicated professionals works tirelessly to produce high-quality content that reflects the interests and needs of our listeners. From breaking news stories and in-depth interviews to the latest music hits and cultural programming, we cover a wide range of topics that are relevant to our community.

At Mbeya Highlands FM, we believe in the power of radio to connect people and foster dialogue. Our programming is designed to reflect the diversity of our community and promote understanding and appreciation of different cultures and perspectives. Whether you’re tuning in for the latest news updates or just looking to relax and enjoy some great music, we’ve got you covered.

Our station is committed to supporting local talent and promoting homegrown artists. We regularly feature interviews and performances by local musicians, and showcase the vibrant arts and culture scene in our region. We also provide a platform for community members to share their views and opinions on important issues affecting our society.

With our state-of-the-art facilities and experienced team of professionals, Mbeya Highlands FM is dedicated to delivering the highest quality radio programming in Tanzania. We are always looking for ways to improve our service and welcome your feedback and suggestions.

Thank you for choosing Mbeya Highlands FM as your go-to source for quality radio broadcasting. We look forward to serving you and keeping you informed and entertained for years to come.