Highlands FM

Mchakato kudai katiba mpya ni watanzania sio wa chama fulani

10 June 2024, 16:33

Baadhi ya washiliki walioudhulia Mjadala huo uliofanyika katika ukumbi wa usungilo Hotel jijini Mbeya
Baadhi ya washiliki walioudhulia Mjadala huo uliofanyika katika ukumbi wa usungilo Hotel jijini Mbeya

Na Isack Mwashiuya

Highlands Fm Radio

Watanzania wametakiwa kuachana na dhana kwamba hitaji la katiba mpya ni kwa maslahi ya chama au kikundi Fulani cha watu wachache sababu inayopelekea  kukwama na kuchelewa  kwa mchakato huo wa upatikanaji wa katiba itakayoendana na wakati tuliopo hivi sasa.

TAARIFA YA ISACK MWASHIUYA INASOMWA NA CATHERINE NGOBORA..

Sauti Catherin Ngobora