

25 April 2024, 18:31
Na Samwel Mpogole
Highlands Fm Radio Mbeya
Mamlaka ya udhibiti Usafiri wa Ardhini {LATRA} Mkoa wa Mbeya imebaini kushughulikia changamoto za abiria mkoani hapa ikiwa ni pamoja na ongezeko la nauli zisizo sahihi, kuto kutolewa ticket pamoja na baadhi ya magari kukatisha safari tofauti za leseni zao.
Taarifa ya Samwel Mpogole imesomwa na Mwanaisha Makumbuli