Mufindi FM
Mufindi FM
9 July 2024, 8:22 am
Na Bestina Nyangaro Mufindi Serikali imetoa Kiasi Cha shilingi million 500 kwa ajili ya ujenzi wa kituo Cha afya kata ya Makungu halmashauri ya wilaya ya Mufindi ili kuondoa adha kwa wananchi wapatao 17,373 kutembea umbali mrefu kupata huduma za…
9 July 2024, 8:02 am
Na Bestina Nyangaro Mufindi Leo Julai 7 2024, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa amekagua na kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa darasa la mfano shule ya sekondari Iramba iliyopo kata ya Itandula halmashauri ya…
27 June 2024, 8:06 am
MUFINDINa Witness Alex Wakati leo june 26, dunia ikiadhimisha siku ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya, waraibu wapatao 12 wanaendelea kupata msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya katika Nyumba Ya Upataji Nafuu (Iringa Soba House) mkoani Iringa.JACKSON MACHOWA…
27 June 2024, 7:52 am
Na Witness Alex Mufindi Mkuu Wa Mkoa Wa Iringa Mhe Peter Serukamba Ameipongeza Halmashauri Ya Wilaya Ya Mufindi Kwa Kupata Hati Safi Kutoka Kwa Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali (CAG) Kwa Mwaka Wa Fedha 2022/2023. Leo Juni…
21 June 2024, 2:11 pm
Na Moses Mbwambo Iringa Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuwasili mkoani Iringa Juni 22,2024 ukitokea mkoani Njombe ambapo utazinduaa miradi yenye thamani ya zaidi ya bilioni 600 na utakimbizwa kwenye Halmashauri 5 za mkoa wa Iringa. Mkuu wa Mkoa wa Iringa…
21 June 2024, 11:34 am
Na Kefa Sika Mafinga Takribani vijana 192 wanatarajia kupata ajira za ulinzi wa misitu dhidi ya majanga ya moto shamba la miti saohill lenye ukubwa wa hekta 134,903 wilayani Mufindi kuanzia julai Mosi Mwaka huu. Hayo yamesemwa na Msaidizi wa…
16 June 2024, 11:39 am
Na Bestina Nyangaro Watu wawili wamefariki Dunia na wengine 16 kujeruhiwa, wakiwemo watumishi 6 wa shirika la umeme (TANESCO) Mafinga na wakatamiti katika shamba la miti Sao Hill. Ajali hiyo imetokea Juni 15, 2024 ikihusisha gari namba T195 EDF aina…
6 June 2024, 10:12 am
Na Jumanne Bulali Mufindi Emmanuel Mikael Mwepelwa mwenye umuri wa miaka 10, Mwanafunzi wa shule ya msingi Njojo kata ya Nyololo wilayani Mufindi mkoani Iringa, amesadikika kufariki dunia kwa kujinyonga, sababu zikiwa hazijulikani hadi sasa. Kwa Undani Wa Habarii Tuungane…
27 May 2024, 8:41 pm
Na Bestina Nyangaro Mafinga. Miili ya watoto watatu, wawili wakiwa wa familia Moja waliokufa maji imeagwa na kuzikwa katika makabauri ya shamba la bibi kata ya Kinyanambo halmashauri ya mji Mafinga Leo mei 27, 2024.Watoto hao walikutwa wamepoteza maisha kwa…
17 April 2024, 7:40 pm
Na Bestina NyangaroOfisi ya mbunge Jimbo la Mafinga Mjini kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati, imegawa mitungi 350 ya gesi ambayo imeambatana na elimu (Mafunzo) ya nishati safi ya kupikia kwa lengo la kuwezesha upatikanaji wa nishati hiyo. Zoezi hilo…
MUFINDI FM MAFINGA 107.3
Mufindi FM Redio 107.3 Mafinga ni Redio iliyo Chini ya Kampuni ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani iringa inayojulikana Kwa Jina la Mufindi Media Cooperation Company LTD. Mufindi FM Redio Ilianzishwa Mwaka 2021, Redio Isikilizwa Katika Mikoa ya Iringa na Njombe, Pamoja na Baadhi ya Wilaya Katika Mikoa ya Morogoro, Mbeya na Ruvuma.