Mkoani FM

Recent posts

29 September 2023, 4:37 pm

Dkt. Khalidi: Tusichafue bahari kwani asilimia 50 ya oxygen inatoka huko

Wananchi waache kuchafua mazingira ya bahari ili ibaki katika haiba yake na kuwalinda viumbe hai wanaopatikana ndani yake. Na fatma Rashid. Waziri wa Ujenzi, Mawasoliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt. Khalid Salim Ali ameitaka jamii kuacha tabia ya kutupa taka  ovyo…

27 September 2023, 11:15 pm

Wanawake someni sayansi mkaongoze meli Pemba

Kutokana kwa uwepo wa wanawake wachache kwenye sekta ya bahari hasa kuwa mabaharia ndio asasi mbali mbali kuungana kuhamasisha maskuli ili wasome masomo ya sayansi wawepo kwenye sekta hiyo. Na Fatma Rashid Wanafunzi kisiwani Pemba wametakiwa kizingatia masomo ya sayansi…

26 September 2023, 7:38 am

Waziri Mbarawa atoa neno maadhimisho siku ya usafiri baharini

“Usafiri wa baharini ni usafiri salama kama vile maeneo mengine yanayotoa huduma za usafiri hivyo wananchi tutumie usafiri wa baharini kwa shuguli zetu mbalimbali za kimaisha kwani ni sehemu salama na Tanziania imeimarisha utoaji wa huduma za usafiri baharini“ Na…

17 September 2023, 4:47 pm

70% ya wakulima hulima kilimo cha mazoea Pemba-Utafiti

Imeelezwa kuwa wakulima kisiwani Pemba bado wanalima kilimo cha mazoea ambacho hawazingatii  maelekezo ya kitaalam juu ya kilimo jambo ambalo linapelekea kukosa mavuno mazuri hasa wale wanaolima kibiashara. Na Khadija Yussuf Wakulima kisiwani Pemba wametakiwa kuacha tabia ya kulima kimazoea…

14 September 2023, 4:53 pm

ZEC kutoa  tarehe ya uchaguzi mdogo Mtambwe

Kufuatia kifo cha aliyekuwa  Mwakilishi wa jimbo la mtambwe Habibu Ali Mohamed, tume ya uchaguzi  Zanzibar imeamua kufanya uchaguzi mdogo kuziba nafasi hiyo iliopo wazi na wadau wote wa uchaguzi wanatakiwa kushiriki kukamilisha uchaguzi huo kama ilivyokusudiwa. TUME ya Uchaguzi…

14 September 2023, 3:58 pm

Vipindi  vya elimu Redioni vitaengeza ufaulu Sekondari.

Vipindi vya elimu vya redio zinasaidia kuengeza ufauli kwa wanafunzi hasa wa sekondari ni vyema wazazi na walimu kushirikiana kwa pamoja kuwahimiza watoto wao  kufuatilia vipindi hivyo kwa lengo la kuengeza ufaulu. Na Fatma Rashid. Meneja wa mradi wa  Secondary …

12 September 2023, 9:23 pm

Makoongwe waomba huduma bora za kijamii

Wananchi wa kisiwa cha Makoongwe kinachopatikana mkoa wa Kaskazini Pemba wameomba kupatiwa huduma mbalimbali za kijamii kutokana na huduma hizo kukosekana muda mrefu na kumtaka mbunge wa jimbo la Mkoani kutimiza wajibu wake kwao. Na Khatib Juma Wananchi wa shehia…