Savvy FM

Waziri Aweso aagiza miradi ya maji Arusha kukamilika

26 November 2026, 10:06 pm

Waziri wa Maji Jumaa Aweso akizungumza wakati waukaguzi wa miradi ya maji Arumeru jijini Arusha. Picha na Renalda Massawe

Waziri wa maji Juma Aweso ameziagiza Ruwasa na Auwsa kuhakikisha miradi ya maji katika wilaya za Arumeru na Arusha inakamilika ili wananchi wapate huduma ya maji safi na salama

Na, Renalda Massawe

Waziri Aweso ametoa maagizo hayo baada ya ya kutembelea maeneo ya Rugu kikatiti Embaseni Mawezi ,Chekereni ,Musa na Oldonyosambu ambako amekagua miradi na kujoonea changamoto za upatikanaji wa maji .

Sauti ya waziri Juma Aweso

Naye mkuu wa wilaya ya Arumeru, Neema Kugangira atashirikiana na viongozi wa chama madiwani Ruwasa na Auwsa kuweka mikakati ya kuhakikisha wananchi wa arumeru wanaoishi karibu na vyanzo vya maji wanapata huduma hiyo

Sauti ya DC Arumeru Neema Kugangira