Savvy FM

Rais Samia kutua Arusha kikazi

19 November 2026, 12:32 am

Mkuu wa wilaya ya Arumeru akizungumza.

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Neema Lugangira amewahimiza wananchi wa Jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anayetarajiwa kuwasili mkoani humo kesho Novemba 19, 2026.

Na Mariam Mallya

Rais Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Arusha kuanzia Novemba 19 hadi 21, 2026, ambapo atatekeleza shughuli mbalimbali za kikazi.

Sauti ya DC Arumeru Neema Lugangira

Aidha Dc Lugangira amesema fursa hiyo ya kuwa katika maandalizi ya kumpokea Rais kwake ni heshima kubwa na nimoja ya sehemu ya kumuhimarisha kiutendaji ambapo amesema tangu amepata nafasi ya kuwa mkuu wa wilaya ya Arumeru amepambana kuzifikia kero za wananchi ikiwemo kuwafikia wananchi kupitia namba maalumu zakupokea changamoto kutoka kwa wananchi

Sauti ya DC Lugangira