Ziara
2 September 2026, 16:24
Serikali yawataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya mvua za el-nino
Itakumbukwa kuwa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilitoa utabiri Agosti 18, 2026 kuhusu uwepo wa hali ya El-Niño yenye nguvu inayoweza kusababisha mvua kubwa na madhara mengine, hivyo maandalizi yanahitajika ili kupunguza athari na kutumia fursa zinazotokana na…
16 January 2024, 19:45
PM Majaliwa ahitimisha ziara Mbeya, afungua CUoM
Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa ameondoka Mkoani Mbeya baada ya Kushiriki Hafla ya Ufunguzi wa Chuo Kikuu Cha Kikatoloki Mbeya (CUoM) Leo January 16 2024.
8 January 2024, 14:11
NDC Mbeya yapokea wanafunzi toka nchi nne
Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera leo Januari 08, 2024 amekutana na wanafunzi kutoka Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi NDC waliofika mkoani Mbeya kwa lengo la kuendeleza mafunzo yao kwa njia ya vitendo. Ziara…
30 November 2023, 6:27 pm
Chomete aipongeza CCM, serikali utatuzi changamoto za wananchi Bunda
Mbunge wa viti maalum Ghati Chomete amepongeza jitihada za serikali na viongozi wote wilayani Bunda kwa jitihada wanazozionesha katika kutatua changamoto za wananchi. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Mara kupitia Ghati Chomete amepongeza jitihada za serikali…
23 November 2023, 18:27
Mbeya kukaguliwa miradi ya maendeleo
Na Hobokela Lwinga Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh.Juma Zuberi Homera anatarajia kuanza ziara katika halmashauri za Jiji la Mbeya na Mbeya Dc lengo likiwa ni kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali. Akitoa taarifa ya ziara hiyo kwa vyombo…
10 November 2023, 4:07 pm
Makonda azulu kaburi la JPM Chato
Ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Makonda amezulu kaburi la Maguli leo hii. Na Mrisho Sadick- Geita Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Ziwa, leo November 10, 2023…
10 November 2023, 3:59 pm
Makonda atua Chato, asema Rais Samia hana ubaguzi
Akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Ziwa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda , leo November 10, 2023 amefika wilayani Chato na kuzungumza na wananchi. Na Mrisho Sadick- Geita Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na…
2 October 2023, 10:11 pm
Katibu mkuu CCM taifa Daniel Chongolo awasili Katavi
KATAVIKatibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM taifa Daniel Chongolo Amewasili Mkoani Katavi kuanza Ziara ya Siku 6 kwa ajili ya kukagua miradi na kuzungumza na wananchi. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na chama cha Mapinduzi mkoani Katavi mara baada…
27 September 2023, 17:42
Wanafunzi 180 wa kidato cha tano hawajaripoti shuleni Msalato
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametembela Jumla ya Miradi Mitatu inayoendelea Jijini Dodoma ikiwemo Ujenzi wa Mabweni Mawili ya Shule ya Sekondari Msalato, Hospitali ya Wilaya inayojengwa katika Kata ya Nala na Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mpamaa…
9 September 2023, 17:01
Rais Samia kufanya ziara ya siku 4 Mtwara
Hii ni Mara ya kwanza kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kufanya ziara mkoani Mtwara akiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambapo kwa mara ya mwisho alifanya mwaka 2016 akiwa Makamu wa Rais. Na Musa Mtepa Rais wa…