

12 June 2024, 11:58 am
Kila ifikapo juni 12 ya kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya kupinga utumikishwaji wa Mtoto ambapo kwa mwaka huu imebeba kaulimbiua isemayo ‘’komesha utumikishwaji wa mtoto’’ Na Zaituni Juma Wazazi na walezi wilayani Tabora wameaswa kutowatelekeza watoto wao kwa wazee…
30 May 2024, 2:50 pm
Mita za LUKU ni mfumo wa kulipia umeme kadiri mteja anavyotumia huku zaidi ya wateja laki 1 wakitarajiwa kufanyiwa maboresho kwenye mfumo wa huo. Na Zaituni Juma Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Tabora linatarajia kufanya maboresho ya mfumo wa…
28 May 2024, 5:39 pm
Kwa mujibu wa sheria ya ardhi kifungu namba 6 na sheria ya barabara namba 13 ya mwaka 2007 na kanuni ya mwaka 2009 kifungu cha 29 kwa pamoja vinaeleza umuhimu wa kutunza na kuheshimu hifadhi hizo. Na Zaituni Juma…
21 May 2024, 10:05 pm
Tabora United imesalia na Michezo Mitatu Mmoja ikicheza nyumbani dhidi ya Ihefu Sc na michezo miwili ugenini dhidi ya Yanga na Namungo. Na Mohamed Habib Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameahidi kutoa shilingi Milioni 10 ikiwa ni Hamasa…
15 May 2024, 10:35 am
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ally Hapi amekuwa na ziara katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Iringa,Singida na sasa mkoani Tabora. Na Mohamed Habibu Wanachama wa chama cha Mapinduzi –CCM mkoa wa Tabora wametakiwa kudumisha umoja , upendo…
6 May 2024, 1:03 pm
Katika mwaka wa fedha 2022/2023 Manispaa ya Tabora ilipokea bilioni 1.8 kupitia mradi wa boost kwaajili ya kujenga shule mpya 3 na zingine kukarabatiwa. Na Mohamed HabibuJumla ya shilingi milioni 561 zimetumika kujenga shule ya msingi KIDATU Manispaa ya Tabora…
5 May 2024, 3:34 pm
Na Zaituni Juma Serikali mkoani Tabora imekuwa ikishirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Shirika la CARITAS Tabora katika utoaji wa chanjo ya UVICO 19 ili kumfikia kila mwananchi.Na Zaidi ya watu milioni 1,600,000 wamepatiwa chanjo ya UVICO 19 kwa mkoa wa…
23 April 2024, 7:10 pm
Kampeni ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka 9 hadi 14 imezinduliwa nchini naitafanyika kwa siku 5 mfululizo. Na Mohamed Habibu Wazazi na walezi wenye wasichana walio na umri wa miaka 9 hadi 14…
18 April 2024, 4:20 pm
TAKUKURU imekuwa ikipokea malalamiko yanayohusiana na vitendo vya rushwa na mengine kuhakikisha yanapelekwa kwenye mamlaka husika Na Omary Khamis Jumla ya malalamiko 62 yamepokelewa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Tabora katika kipindi cha mwezi…
15 April 2024, 10:52 pm
“Vijana ni nguvu kazi ya taifa kwahiyo lindeni afya zenu na mhakikishe mnacheza kwa uangalifu“ Na Elisha Lusatila Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora Zakaria Mwansasu amewasihi wananchi kulinda afya zao dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI.Mwansasu ametoa rai hiyo…