

30 July 2024, 6:19 pm
Bilioni 31 zimetolewa na serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya za msingi, Sekondari, vyumba vya madarasa na nyumba za Walimu mkoani Tabora. Na Nicholaus Mwaibale Mkoa wa Tabora umepiga hatua kubwa katika sekta ya Elimu katika kipindi…
22 July 2024, 6:15 pm
TARURA mkoa wa Tabora anasimamia mtandao wa barabara wenye urefu wa kilolemta 8,404 . Na Zaituni Juma Jumla ya shilingi bilioni 26 zimetengwa na serikali katika mwaka wa fedha 2024/2025 kwaajili ya kutengeneza barabara katika maeneo mbalimbali mkoani Tabora. Meneja…
12 July 2024, 6:32 pm
Kwa mujibu wa taarifa vijana hao zaidi ya 100 walipigiwa simu kutoka mikoa ya Manyara, Arusha, Singida, Dodoma na Morogoro kuja mkoani Tabora kwa lengo la kuwapatia ajira zenye mshahara mnono Na Salma Abdul Watu 23 ambao ni baadhi ya…
12 July 2024, 5:45 pm
Chuo cha mafunzo ya udereva Utalii East Afrika – Tabora kimeratibu mafunzo bure kwa waendesha Bodaboda,bajaji na maguta zaidi ya 500 Manispaa ya Tabora kwa kipindi cha mwezi 1 kwa lengo la uzingatiaji wa sheria za usalama barabarani. Na…
12 July 2024, 5:14 pm
Suala hilo limetokea kutokana na mpango wa mfadhili kuwatafuta vijana kwa lengo la kuwafungisha ndoa na kugharamia mahari pamoja na mambo mengine. Na Zaituni Juma Baraza la Mashehe mkoani Tabora limemsimamisha kazi Shekhe wa kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora…
7 July 2024, 7:18 pm
Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani kitaifa yamefanyika mara ya nne mfululizo mkoani Tabora yakibeba kaulimbiu isemayo “Ushirika hujenga kesho iliyo bora” Na Nicholaus Mwaibale Naibu Waziri Mkuu na waziri wa nishati Daktari Dotto Biteko amewataka viongozi wa ushirika nchini kufanya…
2 July 2024, 4:25 pm
Maadhimisho ya wiki ya ushirika duniani kitaifa yamefanyika mara nne mfululizo katika viwanja vya Nanenane Ipuli Manispaa ya Tabora. Na Zaituni Juma Naibu Waziri wa Kilimo David Silinde amelitaka Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika- COASCO kuendelea…
30 June 2024, 9:10 pm
Dkt. Charles Msonde amekuwa na ziara katika mikoa mbalimbali ikiwemo Kagera na Tabora ambapo pamoja na mambo mengine ametumia fursa hiyo kuzungumza na walimu. Na Elisha Lusatila Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde amewataka…
21 June 2024, 7:39 pm
Kiasi cha shilingi milioni 50 kilichotolewa kwa wachezaji na viongozi wa timu ya Tabora United ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa RC Chacha kwa timu hiyo kama itafanya vizuri katika michezo ya mtoano na kubakia ligi kuu. Na Mohamed Habibu Mkuu…
18 June 2024, 4:46 pm
Operesheni hiyo ya kufuatilia wanaokiuka taratibu za uvunaji wa mazao ya misitu wilayani Uyui imeanza wiki ya mazingira Mei 29 mwaka huu ikiwa na kaulimbiu isemayo ‘’urejeshwaji wa ardhi iliyoharibiwa, ustahimilivu wa hali ya jangwa na ukame’’ Na Zaituni Juma…