

8 January 2025, 11:38 am
Mkuu wa Mkoa wa Tabora asema rushwa inashusha hadhi ya wachezaji pamoja na timu. Na Zabron George Wachezaji wa timu ya Tabora united wameshauliwa kutopokea chochote kutoka kwa mtu mwenye lengo la kuuza mchezo kwani kufanya hivyo kutashusha hadhi ya…
8 January 2025, 11:12 am
Mwenyekiti wa chama cha mawakili kanda ya Tabora Kelvin kayaga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kero ya wafungwa kukaa muda mrefu mahabusu Wanasheria Tabora waazimia kutopokea majarada ya msaada wa sheria ndani ya miezi sita hadi kesi zisikilizwe kwa…
8 January 2025, 10:33 am
Wakulima wa zao la Tumbaku wanaendelea na sintofahamu wakati wakielekea kwenye kuvuna zao hilo Na Nyamizi Mdaki Mwenyekiti wa jukwaa la Ushirika Mkoa wa Tabora Hamisi Katabanya amesema kwamba wakulima wa Tumbaku wanahofia kupata hasara mwaka 2024/2025 wa kilimo kufuatia…
6 December 2024, 9:35 pm
Jeshi la polisi linaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini sababu ya kifo hicho Na Salma Abdul Watu wawili wakutwa wamefariki katika chumba kimoja mtaa wa Majengo kata ya Ipuli manispaa ya Tabora. Kwa mujibu wa taarifa watu hao waliofariki ni PETER…
22 November 2024, 11:35 am
Zoezi la kampeni kwa wagombea wa vyama mbalimbali kunadi sera zao limeanza novemba 20 hadi 26 mwaka huu. Na Nyamizi Mdaki Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Tabora kimesimamisha wagombea katika vitongoji vyote 156 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa…
11 November 2024, 4:38 pm
Mradi wa EPPCO utagharimu zaidi ya shilingi milioni 912 hadi kukamilika kwake Na Zaituni Juma Serikali ya mkoa wa Tabora imesema kuwa mradi wa EPPCO unaoratibiwa na shirika la Caritas Tabora utakwenda kuwanufaisha wananchi kwa kurahisisha upatikanaji wa huduma ya…
7 November 2024, 7:24 pm
Wananchi wamesisitizwa kupaza sauti pindi wanapoona madereva wanahatarisha usalama wao kwa kutozingatia sheria za usalama barabarani Zaituni Juma Watu 14 wamefariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha gari ya abiria aina ya Toyota Hice yenye namba…
5 November 2024, 4:07 pm
Wanafunzi hao wanaotakiwa kurudi shuleni kuendelea na masomo ni wa shule za msingi pekee zilizopo mkoani Tabora Na Zaituni Juma Serikali mkoani Tabora imedhamiria kuwarudisha shuleni Jumla ya wanafunzi elfu 27,114 wa shule za msingi ambao wako nje ya mfumo…
23 October 2024, 4:48 pm
Mfumo mpya wa manunuzi NEST umetajwa kuondoa urasimu na kuongeza uwajibikaji. Na Nyamizi Mdaki Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amezitaka taasisi zinazojihusisha na manunuzi mbalimbali kuzingatia maadili wakati wa kusimamia na kugawa zabuni zinazotangazwa. Mkuu wa Mkoa ameeleza…
18 October 2024, 2:52 pm
Zoezi la kujiorodesha katika daftari la mpiga kura kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa linafikia tamati oktoba 20 mwaka huu. Na Nyamizi Mdaki Wananchi Mkoani Tabora wakumbushwa kwenda kujiandikisha ili wapate sifa za kuwachagua viongozi wanaowahitaji. Rai hiyo imetolewa…