

Uyui FM Radio
99.3 MHz
Ipuli-Tabora Municipal
0713 350 718 or 0712 536 746
uyuifmradio@gmail.com
https://t.me/Teamrealgenius
99.3 MHz
Ipuli-Tabora Municipal
0713 350 718 or 0712 536 746
uyuifmradio@gmail.com
https://t.me/Teamrealgenius
Asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama ya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora ni za ubakaji. Na Zaituni Juma Hakimu mkazi Mfawidhi Mahakama ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora Tausi Mongi amesema asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama hiyo…
6 March 2025, 5:32 pm
Utaratibu wa kupima afya kwa mkulima utamsaidia kujua mapema endapo amepata maambukizi ya magonjwa kipindi cha kilimo Na Nyamizi Mdaki Wakulima Wilayani Uyui mkoani Tabora wametakiwa kuwa na utaratibu wa kupima afya mara baada ya msimu wa kilimo kumalizika ili…
6 March 2025, 4:43 pm
wahitimu wameaswa kuzingatia waliyofundishwa na walimu wao. Na Nicolaus Mwaibale Diwani wa kata ya Ndono katika halmashauri ya Wilaya ya Uyui mkoani Tabora Mrisho Ally ameahidi kuzifikisha kwenye baraza la madiwani changamoto za shule ya Sekondari Ndono. Ametoa ahadi hiyo…
27 January 2025, 2:42 pm
Picha ikiwaonyesha wadau mbalimbali wa mahakama wakiwa katika jengo la NSSF mkoani Tabora. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amewataka wadau wa mahakama kushirikiana kutimiza malengo ya maadhimisho ya wiki ya sheria. Ametoa wito huo leo wakati wa uzinduzi…
27 January 2025, 1:49 pm
Picha ya kikosi cha Mtibwa Sukari cha msimu wa 2024/25 Klabu ya Mtibwa Sukari imeendelea kufanya vizuri katika muendelezo ligi daraja la kwanza(Championship) kwa kupata matekeo mazuri katika michezo wanayoicheza,Mtibwa sukari inaongoza ligi hiyo ikiwa na alama 41 kwa kushinda…
17 January 2025, 4:41 pm
katibu wa kamati ya ushauri ya watumiaji huduma za usafiri ardhini mkoa wa Tabora LATRA CCC Joakim Milambo amesema ni kuhakikisha wanapanua wigo wa elimu ya usalama barabarani Na Nyamizi Mdaki Uanzishwaji wa Klabu za usalama barabarani kwa wanafunzi katika…
16 January 2025, 1:09 pm
Wananchi wamesisitizwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama ili kutokomeza utamaduni huo. Na Zaituni Juma Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Cornel Magembe amekemea vikali utamaduni wa baadhi ya wanaume kuwalazimisha wasichana wadogo kuingia nao kwenye mahusiano ya kimapenzi maarufu kama…
14 January 2025, 6:01 pm
Na, Nyamizi Mdaki Asilimia 68 ya wanafunzi wameandikishwa darasa la kwanza, kwenye Shule mbalimbali za Serikali katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora. Hayo yamebainishwa na Afisa elimu awali na msingi Manispaa ya Tabora Patricia Mbigili wakati akizungumza na UFR kuhusu…
14 January 2025, 12:41 pm
“Kwasababu mkurugenzi upo na vyombo vipo vianze kuwashughulikia hawa watu mara moja” Na Zaituni Juma Vyombo ya usalama vimeagizwa kuchunguza idara ya ujenzi katika halmashauri ya Manispaa ya Tabora kufuatia kukithiri kwa vitendo vya rushwa hali ambayo imetajwa kuisababishia halmashauri…
14 January 2025, 11:49 am
Nidhamu ya muda na fedha imesisitizwa kwa yeyote anayetaka kufanikiwa. Jamii Mkoani Tabora imetakiwa kuona umuhimu wa kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha ili kutimiza malengo wanayojiwekea kwa mwaka mzima. Ushauri huo umetolewa na Mhadhiri wa chuo kikuu kishiriki…
8 January 2025, 11:39 am
Awaomba wataalam wa afya na wananchi kutumia klinik hiyo kwa kuibua wagonjwa wapya kwaajili ya kupata msaada. Na Butungo Andrew Hospitali ya rufaa mkoani Tabora Kitete kwakushirikiana na hospitali ya taifa Muhimbili pamoja na chama cha Himophilia Tanzania, imezindua klinik…