Radio Jamii Kilosa

Recent posts

16 April 2021, 11:19 am

Kikundi cha Kiwasai chafaidika na vifaranga vya samaki 1000.

Katika kuhakikisha jamii inaepukana na changamoto ya udumavu, Shirika la Save the Children kupitia mradi wa Lishe endelevu unafadhiliwa(USAID)  April 15 umetoa vifaranga vya samaki aina ya Sato elfu moja katika kikundi cha KIWASAI kilichopo Ilonga Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.…

7 April 2021, 10:45 am

Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan -Moropc.

Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Morogoro (MOROPC) kinampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuitaka Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kuvifungulia vyombo vyote vya Habari vilivyofungiwa na Serikali kwa Makosa mbalimbali.…

27 March 2021, 4:34 am

“Magufuli ameacha haya wewe na mimi tutaacha nini?”-Padri Nyanga.

Waamini wa Kanisa Romani Katoliki Parokia ya Familia takatifu Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya ibada ya misa takatifu kwa ajili ya kumuombea hayati Dakta John Pombe Magufuli katika safari yake ya mwisho ambapo machi 26 2021 mazishi yamefanyika Nyumbani kwao Chato…

20 March 2021, 4:05 pm

Waadvendista wasabato wafanya matendo ya huruma -Kilosa.

Waumini wa Kanisa la Waadvendista wasabato Kilosa lililoko Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wameadhimisha wiki ya huduma kwa jamii kwa kufanya matendo ya huruma kama vile kuchangia damu , kutoa mahitaji kwa watu wenye mahitaji maalumu , ikiwa ni pamoja na…

17 March 2021, 11:57 am

Zaidi ya wanafunzi 2700 kupewa elimu ya Kinywa Kilosa -Dk Kibula.

Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro kupitia idara ya afya wanatarajia kutoa elimu ya afya ya Kinywa na meno pamoja na vifaa vya kushafishia Kinywa kwa wanafuzi 2721 kwa ajili ya kujikinga na magonjwa mbalimbali ya Kimywa na meno.…

16 March 2021, 11:44 am

Bilion 1.27 kumaliza tatizo la maji kilosa-Injinia Chum.

Zaidi ya bilion 1.27 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maji  safi na salama Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro ili wananchi waweze kupata huduma ya maji  saa 24  kwa mwaka . Hayo yamesemwa machi 16 2021 na Meneja  wakala wa maji na…

13 March 2021, 4:30 am

Watoto wanaishi katika mazingira magumu walia na Serikali -Kilosa

Watoto wanaishi katika mazingira magumu walioko Kata ya magomeni Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro amba wanafahamika kwa jina la Magomeni Children Development Machide wamomba serikali na wadau mbalimba kuwatazama katika jicho la huruma ili kuwasaidia kutatua changamoto mbalimbali zinazo wakabili katika…

11 March 2021, 7:52 pm

Halmashauri ongezeni nguvu katika sekta ya kilimo-DC Mgoyi.

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa rai kwa Halmashauri ya Wilaya ya  Kilosa kutambua kuwa Wilaya ya Kilosa ni wilaya ya kilimo iliyojaa mito yenye maji ya kutosha hivyo ni vema wilaya ikajikita zaidi katika uzalishaji ili kupata…

MISSION AND VISSION

Tembelea ukurasa wetu