Recent posts
30 January 2023, 9:32 am
Jeshi la Polisi laongoza zoezi la usafi Kilosa
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kilosa (OCD) Hasani Selengu ameliongoza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilosa Katika Kufanya Usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa leo Januari 27 Mwaka huu 2023 .. Wakati wakendelea kufanya usafi huo wa kufyeka nyasi…
30 January 2023, 9:32 am
Waziri Ndaki awataka wafugaji kubadilika.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb)amewataka wafugaji kubadilika kwa kuacha mfumo wa ufugaji wa mazoea kwa kutegemea ardhi ya Jumuiya na badala yake wawe na eneo la kufugia Mifugo Yao eneo ambalo atatumia liwe linatambulika kisheria. Waziri…
30 January 2022, 1:51 pm
Epuka uchafu wa Mazingira Kilosa -M/kiti Chabu.
Wito umetolewa kwa jamii Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro kujenga tabia ya kushiriki kufanya usafi wa Mazingira na kupanda miti kwa ajili ya kuepuka magojwa ya mlipuko na kutunza Mazingira Wilayani humo . Wito huo umetolewa Januari 29 mwaka huu na…
27 November 2021, 2:16 am
Kilosa ya ng’ara Kwa usafi-Dc Mwanhga.
8 September 2021, 2:58 am
Ujenzi wa Vituo vya afya na sekondari Kilosa ukamilike desemba mwakahuu-Prf Shem…
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe ameagiza kuharakishwa kwa ujenzi wa vituo viwili vya afya vilivyopatiwa fedha mwaka huu 2021/2022 kiasi cha shilingi milioni mia tano kila kituo pamoja na shule…
23 June 2021, 10:58 am
DC ataka heshima kazini, Narudi kufundisha Madrasa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro Alhaji Majid Hemed Mwanga juni 22 2021 amewataka Viongozi wote Wilayani humo kuwa wabunifu pamoja na kufanya kazi kwa umoja, kushirikiana bila kubaguana wala kudharauliana kwani kwa kufanya hivyo Wilaya itasonga mbele zaidi…
22 June 2021, 7:38 pm
Kambi za kujitambua kujithamini na kujiamini ziwe endelevu.
Rai imetolewa kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa na shule za sekondari kujenga msingi endelevu wa kuwa na kambi za watoto wa kike kipindi cha likizo lengo ikiwa ni kuwaweka pamoja ili waweze kujifunza masomo mbalimbali ikiwemo lugha…
21 April 2021, 10:15 am
Kata ya malolo yapongezwa kwa ujenzi wa kituo Cha Afya .
Wananchi wa kata ya Malolo pamoja na uongozi wake wamepongezwa kwa namna ambavyo wameonyesha umoja na ushirikiano katika kujiletea maendeleo katika kata yao kwa ushirikiano mkubwa waliouonyesha katika kufanikisha ujenzi wa kituo cha afya Malol. Pongezi hizo zimetolewa Aprili 20…
20 April 2021, 10:40 am
Meneja TRA Kilosa atoa siri ukusanyaji kodi .
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 3.6 kutoka kwa wafanyabiashara waliolipa kodi kwa wakati kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambako kumechangia kuongeza mapato katika Wilaya na kuiwezesha serikali kutimiza malengo ya…