Radio Jamii Kilosa
Radio Jamii Kilosa
07/05/2024, 11:46
Serikali imedhamiria kuondoa tatizo la uoni hafifu na kutokusikia kwa wanafunzi wa shule za msingi nchini kwa kuweka mpango madhubuti wa kuwapima macho na masikio wanafunzi wote na watakaobainika waweze kupatiwa matibabu mapema ili isiwaathiri katika usomaji wao. Na Asha…
09/04/2024, 15:07
Serikali imedhamiria kwa dhati kumaliza changamoto za miundombinu ya barabara kwa kutengeneza madaraja, mifereji na makaravati wilayani Kilosa kwa kuondoa adha ya usafiri na kuwainua wananchi kiuchumi kwa kuweza kusafirisha mazao yao kuyapeleka kwenye masoko makubwa ambayo yatawaongezea kipato mara…
09/04/2024, 13:09
Zimesalia siku chache ili kuisha kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo waislam duniani kote wamekuwa wakitimiza moja ya nguzo muhimu ya dini kwa kufunga na kufanya ibada na matendo mema huku wakidumisha amani, upendo na ushirikiano baina yao. Na Asha…
06/04/2024, 22:04
Kutokana na mafuriko ya mara kwa mara yanayotokea wilayani Kilosa hususani katika kata ya Dumila na kupelekea kuathiri shughuli za kiuchumi serikali imedhamiria kumaliza changamoto hiyo kwa kutenga fedha zitakazotumika katika ujenzi wa tuta ambalo litakuwa suluhisho. Na Asha Madohola…
29/03/2024, 17:06
Ili kuleta kasi ya maendeleo kwa wananchi wote watumishi inatakiwa waendane sambamba na miongozo ya kiserikali ya kiutendaji ambayo ndio itakua chachu pekee ya kuleta maendele. Na Asha Rashid Madohola Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Ndg Michael…
18/03/2024, 13:50
Katika kuhakikisha elimu inawafikia watoto wote nchini serikali imewekeza kuhakikisha shule za awali, msingi na sekondari zinakuwepo za kutosha hususan vijijini ambapo ilikuwa inawalazimu watoto kutembea umbali mrefu kwenda shule. Na Asha Rashid Madohola Mbunge wa jimbo la Kilosa Prof.…
10/03/2024, 01:05
Katika kuhakikisha wananchi wanaishi kwa usalama kipindi chote cha kiangazi na masika serikali imeamua kuwajenge mifereji ambayo itarahisha upitisha maji msimu wa mvua a na kupunguza maji kusambaa kwenye makazi ya watu na kuleta maafa. Na Asha Madohola Wananchi waishio…
08/03/2024, 23:29
Maji safi na salama ni afya kwa binadamu, kwa kutambua umuhimu wa hilo Moruwasa Kilosa imeamua kuandaa ligi ya mpira wa miguu ili kuwakutanisha Jamii na kuipatia elimu juu ya utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji. Na Asha Madohola…
27/02/2024, 10:16
Katika kipindi cha miaka mitatu wilaya ya Kilosa ilipatiwa fedha nyingi kwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwepo ya sekta ya elimu, afya, maji na miundombinu ambayo utekelezaji wake umetekelezeka katika kata zote chini ya ilani ya chama cha…
23/02/2024, 18:43
Uchaguzi wa serikali za mitaa\vitongoji na vijiji utakafanyika mwaka huu 2024 ili kuchagua viongozi katika nafasi hizo ambazo zitawapa fursa ya kwenda kuwaongoza wananchi katika kuwaletea maendeleo kwa kuzingatia sheria na miongozo. Na Asha Madohola Wanawake wametakiwa kuchangamkia fursa kipindi…
Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu