Radio Jamii Kilosa

Recent posts

30 May 2023, 11:05 pm

UWT Kilosa yatoa msaada mashuka ya wagonjwa kituo cha afya Kidodi

Katika juhudi za kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha huduma za afya nchini , Umoja wa Wanawake Tanzania UWT wilaya ya Kilosa wametembelea kituo cha Afya Kidodi kuwafariji wagonjwa pamoja na kutoa misaada ya kijamii kama vile sabuni na mashuka…

30 May 2023, 2:57 pm

Nguvu kazi za wananchi kuchochea miradi ya maendeleo kukamilika kwa wakati

Miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita inadhamiria kuondoa adha za wananchi wanazokabiliana nazo ikiwemo katika sekta ya elimu, afya na masuala ya kijamii ambayo ili kukamilika inahitaji jitihada za wananchi kuunga mkono jitihada hizo hususan kujitolea nguvu…

30 May 2023, 10:14 am

Mradi wa BOOST Kilosa kujenga shule mpya Mtumbatu

Serikali imedhamiria kuondoa adha za sekta ya elimu nchini kwa kuwaletea mradi wa Boost ambao umeanzishwa kwa makusudio ya uboreshaji wa miundombinu kwa madarasa ya awali na msingi, kuimarisha mapito ya wanafunzi wa awali na msingi kwa kuweka mpango wa…

19 May 2023, 3:19 pm

Wazazi na walezi shirikianeni na walimu kuwapatia malezi bora watoto

Kushamiri kwa vitendo viovu vya ubakaji na ulawiti wa watoto wa kiume na wa kike vinavyofanywa na wananchi wasiokuwa na maadili mema serikali imedhamiria kuwekeza nguvu zaidi katika kukomesha vitendo hivyo vinavyotokea hususan kuanzia ngazi ya familia, shuleni na mitaani.…

29 April 2023, 5:52 pm

Wanafunzi Kilosa waaswa kuacha kutumia mitandao ya kijamii

Kutokana na matukio ya kujiingiza kwenye mapenzi ya jinsia moja wananchi wametakiwa kuwa makini na wageni ambao wanaowakaribisha majumbani mwao na kuwalaza katika vyumba vya watoto jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa watoto kwa kufanyiwa vitendo visivyofaa. “Wanafunzi hakikisheni…

28 April 2023, 1:42 pm

Watoto waaswa kutoa taarifa wakifanyiwa ukatili wa ubakaji

Ili kukomesha vitendo vya kikatili vya ubakaji viongozi na wananchi wanatakiwa kuungana kwa pamoja ili kupinga vitendo hivyo kwa kuwa vinachangia kudhorotesha ndoto za watoto na wengine kupata mimba za utotoni. Watoto kwa bahati mbaya mkifanyiwa ukatili huo toeni taarifa…

MISSION AND VISSION

Tembelea ukurasa wetu