Radio Jamii Kilosa

Recent posts

5 September 2023, 8:44 am

Mlimani Boma watengeneza barabara ya zaidi ya mita 400 kupitia Tasaf

Kukamilika kwa barabara hiyo kuleta neema kwa wananchi wa Mserereko ambao walikuwa wakitembea umbali mrefu ili kupata usafiri wa kuwapeleka kwenye mahitaji yao ya kijamii kama huduma za afya ambapo ikitokea mgonjwa au amefariki wanambeba mikononi kurudisha nyumbani. Na Asha…

7 July 2023, 1:41 pm

Wafugaji Kilosa washauriwa kufuga kibiashara

Serikali imelenga kutoa elimu ya shughuli za kimaendeleo katika sekta ya ufugaji kwa vijana hususan wazawa ambao baada ya mafunzo hayo watakuwa mabalozi wazuri wa kusambaza elimu ya ufugaji wa kisasa katika ngazi ya familia na jamii nzima kwa ujumla…

6 July 2023, 7:35 am

Bilioni 7.9 kukamilisha ujenzi wa daraja Berega

Kukamilika kwa daraja la Berega kutawaondolea adha ya muda mrefu ya upatikanaji wa usafiri waliyokuwa wanakabiliana nayo wananchi wa kata ya Berega ambayo ilichangia wananchi kupoteza maisha wakivuka kwenye mto wakati wa masika ili kufuata mahitaji muhimu ya kijamii. Viongozi…

6 July 2023, 7:04 am

Watumishi wapya watakiwa kuitumikia jamii kwa kuzingatia uadilifu

Watumishi wapya kutoka Idara za Afya ,Elimu msingi na sekondari wametakiwa kujua kuwa wana jukumu la kutumikia jamii pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kutimiza majukumu yao ipasavyo ili kuleta maendeleo chanya kwa jamii ya Kilosa. Na Gladys…

21 June 2023, 4:10 pm

Wakulima washauriwa kutumia mbolea ya mboji kuzalisha mazao yenye ubora

Katika kuhakikisha thamani ya mazao yanayolimwa wilayani Kilosa inaongezeka sokoni ni wajibu kwa wakulima kutumia mbolea za mboji na kuzalisha mazao yasiyo na kemikali za mbolea ya viwandani ambayo mazao hayo yanauzwa kwa gharama kubwa katika masoko ya nje. “Acheni…

MISSION AND VISSION

Tembelea ukurasa wetu