

13 April 2024, 6:51 pm
Marehemu Wakasuvi alikuwa mchapakazi lakini pia alikuwa na mahusiano mazuri na watu hivyo dumisheni amani na ushirikiano. Na Zaituni Juma Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amewataka wananchi kuendelea kuyaenzi yale aliyokuwa akiyatenda aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi…
19 March 2024, 4:20 pm
watumishi mkoani Tabora wametakiwa kufanya kazi kwa bidii huku wakiwatendea haki wananchi. Na Zaituni Juma Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amewataka watumishi mkoani hapa kuuthamini umma wanao uongoza. Ametoa rai hiyo mara baada ya kuwasili katika ofisi ya…
31 January 2024, 1:29 pm
Asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama ya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora ni za ubakaji. Na Zaituni Juma Hakimu mkazi Mfawidhi Mahakama ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora Tausi Mongi amesema asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama hiyo…
6 October 2023, 11:16 am
Jamii mkoani Tabora imeaswa kuondoa dhana potofu dhidi ya wanawake wenye ualbino pindi wanapohitaji kuingia kwenye ndoa. Zaituni Juma ametuandalia taarifa zaidi baada ya kuwatembelea baadhi ya wanawake na viongozi wa chama cha watu wenye ualbino TAS – Tabora
25 September 2023, 3:19 pm
Mfumo dume unaoendelea katika baadhi ya jamii umetajwa kuwa ni moja ya sababu inayosababisha wanafunzi wa kike kushindwa kufaulu vizuri masomo yao. Zaituni Juma ana taarifa zaidi baada ya kutembelea kata ya Gongoni Manispaa ya Tabora katika shule ya msingi…
11 September 2023, 3:17 pm
Mkoa wa Tabora unashika nafasi ya nne miongoni mwa mikoa yenye waathirika wengi wa ugonjwa wa sikoseli nchini. Kaimu Mkurugenzi wa hospital ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete Dkt. Renatus Burashahu amewaomba waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele…
29 August 2023, 2:27 pm
Wanandoa katika manispaa ya Tabora wametakiwa kuacha dhana ya mfumo dume na badala yake washirikiane katika masuala ya uzalishaji mali na kisha kutoa maamuzi ya pamoja kwa ajili ya maendeleo. Zaituni Juma ametuandalia taarifa ambayo imeangazia umuhimu wa ushirikino kwa…
21 August 2023, 5:55 pm
Na Zaituni Juma Wanaume katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wamekumbushwa kujali afya ya mama mjamzito na hata baada ya kujifungua. Zaituni Juma ametuandalia taarifa ambayo imelenga ushiriki wa wazazi wote wawili (baba na mama) kwenda kliniki kwa pamoja hasa …
18 August 2023, 6:02 pm
Mahakama kuu kanda yaTabora imetoa hukumu ya kifungo cha miaka kumi na Tano jela kwa Amos Mathias. Na Salma Abdul. Amos Mathias mkazi wa Kijiji cha Nhungulu wilayani Nzega amehukumiwa na Mahakama kuu kanda yaTabora kifungo cha miaka kumi na…
18 August 2023, 5:27 pm
Madiwani wamesisitizwa kuhakikisha upatikanaji wa chakula shuleni unazingatiwa. Mkuu wa wilaya ya Igunga Sauda Mtondoo amewataka madiwani kushirikiana na walimu kuhakikisha chakula kinapatikana shuleni ili wanafunzi wapate muda wa kutosha wa kujifunza. Amesema hayo akiwa kwenye kikao cha baraza la…