Radio Jamii Kilosa
Radio Jamii Kilosa
11/09/2025, 14:20
NGO’s hufanya kazi kwa kushirikiana na jamii na mara nyingi hupata ufadhili kutoka kwa wafadhili wa ndani au nje ya nchi kwa lengo la kusaidia maendeleo ya jamii katika nyanja mbalimbali kama vile afya, elimu, mazingira, haki za binadamu n.k.,…
28/08/2025, 16:04
Migogoro kati ya wakulima na wafugaji huondoa amani kwa kusababisha vurugu, uharibifu wa mali, chuki baina ya jamii, na hata vifo ambapo migogoro hii huathiri maisha, uchumi wa familia, na maendeleo ya kijamii kwa ujumla, hivyo kudumisha maelewano ni muhimu…
27/08/2025, 20:24
Mikopo ya asilimia 10 ni fedha zinazotolewa na Halmashauri zote nchini kwa wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu ambapo kila Halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani—asilimia 4 kwa wanawake, 4 kwa vijana, na 2 kwa watu wenye…
21/08/2025, 17:22
Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zoezi la uchukuaji wa fomu za uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani yameanza tarehe 14 Agosti, 2025 hadi tarehe 27 Agosti, 2025 ambapo wagombea wa vyama vya siasa waliopitishwa na vyama…
21/08/2025, 13:37
Chakula shuleni ni muhimu kwa maendeleo ya afya na elimu ya mwanafunzi. Huchangia kuongeza nguvu na uwezo wa kujifunza, hupunguza utoro, na huimarisha mahudhurio ya wanafunzi darasani na lishe bora pia huongeza uwezo wa kufikiri, umakini na utendaji wa mwanafunzi.…
19/08/2025, 23:38
Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) ni mradi wa Serikali ya Tanzania unaolenga kusaidia kaya zenye hali duni za kiuchumi kwa kuwapatia ruzuku ya fedha, fursa za ajira za muda na kuwajengea uwezo wa kujitegemea na mradi huu umejikita katika…
31/07/2025, 20:21
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ina jukumu la kuhakikisha vijana wengi zaidi wa Kitanzania wanapata fursa ya kujiendeleza kielimu kwa kutoa mikopo yenye masharti nafuu. Vigezo vya kupata mkopo ni pamoja na ufaulu wa masomo,…
26/07/2025, 11:15
Mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana wanawake na watu wenye ulemavu inafanya kazi kama mfuko unaozunguka ambapo mikopo hiyo inakusudiwa kuimarisha shughuli zinazowaingizia kipato wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wasio na ajira rasmi…
04/07/2025, 22:52
Wananchi na wawekezaji wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo wilayani Kilosa, ikiwemo kilimo, utalii na viwanda, ili kuchochea uchumi na maendeleo ya Taifa. Na Beatrice Majaliwa Wananchi ndani na nje ya Wilaya ya Kilosa wametakiwa kutumia kikamilifu fursa zilizopo…
03/07/2025, 15:51
Uvunaji wa misitu ni mchakato wa kuvuna mazao ya misitu kama magogo, kuni, na mkaa kwa kufuata taratibu rasmi na mipango ya matumizi bora ya ardhi. Uvunaji huo unapaswa kuwa endelevu ili kuepuka uharibifu wa mazingira. Na Beatrice Majaliwa Mkuu…
Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu