Radio Jamii Kilosa

Recent posts

4 March 2021, 9:51 am

Jamii yasisitizwa kuendelea kuchukua tahadhari .

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ameonyesha kuridhishwa kwake na utendaji kazi wa kitengo kinachosimamia utekelezaji wa afua mbalimbali katika kitengo cha magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa namna ambavyo kimekuwa kikifanya majukumu yake na kutoa mrejesho chanya katika utekelezaji…

13 February 2021, 5:28 pm

Wafanyabiashara waridhia tozo ya shilingi 50,000.

Wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa vilivyoko katika kata ya Kasiki maeneo ya uhindini wamekubali kulipa tozo ya shilingi 50,000 kwa mwezi kwa kibanda hadi hapo vitakapofanyika vikao vya kisheria mara baada ya mwaka wa…

10 February 2021, 2:13 pm

Wafanya biashara watakiwa kufungua maduka.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Kilosa Asajile Lucas Mwambambale ametoa rai kwa wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vya biashara vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa vilivyopo katika kata ya Kasiki waliofunga maduka kufungua maduka hayo ili wananchi waendelee…

2 February 2021, 1:12 pm

Mbunge wa Jimbo la Mikumi aongeza nguvu ujenzi wa Madarasa.

Mbunge wa jimbo la Mikumi Mh. Dennis Londo amekabidhi mifuko 200 ya saruji katika shule ze sekondari Iwemba, Lyahira, Kidodi na Ruhembe ambapo kila shule imekabidhiwa mifuko 50 ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono agizo la Waziri Mkuu la kuhakikisha…

2 February 2021, 11:20 am

Shule ya Sekondari Mazinyungu yajipanga Kuizika Sifuri 2021.

Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya Sekondari Mazinyungu Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wemejipanga kuzika Daraja sifuri ili isionekane shuleni hapo katika matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2021. Wakizungumza Januari 29 mwaka huu katika kikao mkakati cha kuzika sifuri…

MISSION AND VISSION

Tembelea ukurasa wetu