Recent posts
March 8, 2024, 3:58 pm
Dkt. Mzava awataka walimu kutoa malezi bora kwa wanafunzi shuleni
Walimu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwalea wanafunzi katika mienendo mizuri ili kupambana na mmomonyoko wa maadili unaoendelea kushamili nchini. Na Neema Nkumbi-Huheso FM Wito huo umetolewa na mbunge wa viti maalum mkoani Shinyanga Dkt. Christina Mzava alipotembelea Shule ya…
March 8, 2024, 10:38 am
Wananchi wachangia milioni 16 ujenzi wa vyumba vya madarasa Kahama
Serikali ya mtaa wa Mhongolo Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga imeelezea namna ilivyotekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kushirikiana na wananchi wa mtaa huo. Imesema kuwa zaidi ya shilingi milioni 16 nguvu za wananchi zilitumika katika ujenzi wa boma la…
March 6, 2024, 3:56 pm
Wananchi walalamikia miundombinu ya barabara Kahama
Na, Neema Nkumbi–Huheso FM Wananchi wa Kata ya Mhongolo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga walalamikia miundombinu ya barabara kuwa mibovu wakati walipokuwa wakizungumzia kuhusu hali ya miundombinu ya Barabara. Mmoja wa wananchi hao aliejitambulisha kwa jina Obed Nyangi amesema kuwa barabara…
March 4, 2024, 4:25 pm
Wamiliki wa nyumba za dada poa Kahama kukamatwa na wateja wao
Msiwakamate wanawake tu kamata wote anaejiuza na anaemnunua wote kamata weka ndani Na Paschal Malulu Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme ameagiza kukamatwa kwa watu wanaofanya biashara haramu ya ngono wilayani Kahama baada ya kushamiri kwa biashara hiyo na…
March 4, 2024, 3:06 pm
Afisa mipango miji Kahama asimamishwa kazi
“Huyu afisa alikuwa mpenzi wake na huyu mama kwahiyo penzi lilivyokufa huyu mama alikuwa anashindwa kudai haki yake ya kiwanja” Na Paschal Malulu-Huheso fm Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amewasimamisha watumishi wanne wa halmashauri ya Manispaa ya Kahama…
September 19, 2023, 2:37 pm
Serikali kujenga shule ya sekondari mpya Ushetu
SERIKALI Kuu imetoa Sh milioni 603.8 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika kijiji cha Ngilimba kata ya Ulowa Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Hatua hiyo itawanusuru wanafunzi kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 10 kuelekea…
September 15, 2023, 1:10 pm
Wananchi wasiogope Jeshi la Polisi-RPC Magomi
Kamanda Janeth Magomi amezungumzia elimu ambayo wamekuwa wakiitoa katika jamii ili kupunguza au kutokomeza matukio ya wizi, uvunjaji na uhalifu vinakwisha ambapo amesema polisi Kata wapo kwenye kila Kata ili kuzngumza na wananchi ili kuwafichua wahalifu na wamekuwa wakitoa elimu…
September 14, 2023, 7:36 pm
Clouds Ndondo Cup kuanza kutimua vumbi Kahama Oktoba Mosi
Mashindano ya Clouds Ndondo Cup yanatarajiwa kufanyika mjini Kahama kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu 2023 na usajili wa timu kushiriki wa timu utafungwa rasmi tarehe 22 Septemba 2023 na upangwaji wa makundi utafanyika Septemba 25, 2023 na kila kundi litakuwa…
September 13, 2023, 11:07 pm
Mechi ya pongezi kwa Taifa Stars yapigwa Kilago, Mgeja asifu vipaji
Katika mchezo huo Khamis Mgeja amehudhuria kama mgeni rasmi ambapo amepongeza jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuunga mkono na kusapoti michezo na kuwapatia taifa stars milioni mia tano kwa kufanikiwa…
September 13, 2023, 2:51 pm
Wazazi Nyahanga wahamasishana ujenzi wa vyoo shuleni
Na Paul Kayanda-Kahama WAZAZI na walezi katika Mtaa was Nyahanga Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga, wameombwa kuhamasika katika suala la uchangiaji wa ujenzi wa choo cha wavula kulingana na upungufu mkubwa uliopo. Kaimu mwenyekiti wa kamati ya shule ya msingi…