Huheso FM

Madiwani manispaa ya Kahama waiomba halmashauri kutenga bajeti ya barabara

4 July 2023, 2:51 pm

Madiwani wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wameiomba halmashauri kutenga bajeti ambayo itasaidia kurekekebisha miundombinu ya barabara zilizopo katika kata ili kupunguza changamoto hiyo kwa wananchi.

Picha ya baadhi ya madiwani kwenye bajeti ya fedha halmashauri ya manispaa ya Kahama picha Misoji Masumbuko