Recent posts
June 14, 2025, 10:09 am
Sungusungu waaswa kudumisha amani ya nchi
Sherehe za miaka 43 ya Sungusungu mjini Shinyanga zimefanyika mjini Shinyanga kwenye Kata ya Iselamagazi huku wakiaswa kulinda amani ya nchi Na Neema Nkumbi Jeshi la Jadi la Sungusungu Wilaya ya Shinyanga Vijijini Juni 12, 2025 limeadhimisha miaka 43 tangu…
March 11, 2025, 3:54 pm
Mabinti balehe wakabidhiwa vifaa vya kazi kujikwamua kiuchumi
“mradi wa CHAGUO LANGU HAKI YANGU unalenga kuboresha mifumo ya huduma salama za afya ya uzazi na kuzuia ukatili wa kijinsia, hasa kwa mabinti balehe na wanawake vijana, wakiwemo wenye ulemavu.” Na Neema Nkumbi Zaidi ya wasichana na wanawake vijana…
February 28, 2025, 3:51 pm
Elimu itolewe kwa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya marburg
“Elimu bado haifiki kwa wakati kwenye jamii, wataalam wa afya wafike maeneo ya vijijini kutoa elimu, Serikali ibuni namna ya kutoa hamasa kwa wananchi wake” Na Duah JuliusMtaalam wa Magonjwa ya Mlipuko kutoka Hospitali ya Manispaa ya Kahama Daktari Raphael…
February 27, 2025, 12:35 pm
Wasichana 700 waokolewa na ukatili mikoa ya Shinyanga na Mara
“Tunatambua kuwa hapa kijijini swala la upatikanaji wa maji safi na salama kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi na jamii na jamii bado ni tatizo, hivyo kampuni inawaomba wote kwa ujumla tuwe na subra kwa maana kampuni imekwishafikisha ombi la…
February 26, 2025, 5:31 pm
Serikali ya Mtaa yaifukuza SAMBA MICROFINANCE kwa kuwaumiza wananchi
“Hawa akina mama walikopa mwezi Januari tarehe 30, 2025 walitakiwa kufanya marejesho ya mkopo mwezi March 01, 2025 lakini kabla hata muda wa kurudisha haujafika wamepeleka hela wanakataliwa wanapigwa penati ya mara mbili ya fedha ambayo walitakiwa kurejesha hii sio…
February 26, 2025, 12:03 pm
Huduma za afya zahanati ya Busangi zaboreshwa
Mwaka jana, Huheso Fm iliripoti changamoto za huduma za afya zinazoikabili Zahanati ya Busangi. Tuligundua kuwa changamoto ya Miundombinu ya maji ilisababisha Kwenda na maji yao kituoni jambo ambalo linakera wananchi; changamoto ya uhaba wa dawa ilisababisha wananchi kushindwa Kwenda…
February 25, 2025, 3:51 pm
Walimu watakiwa kuendana na mahitaji ya dunia
“Tunatakiwa kuweka nguvu katika elimu ili kuendelea kubadilika kulingana na ushindani wa dunia, aneyefanya kazi vizuri ananifanya nisifoke foke kwani hasira hupunguza maisha,” amesema Mkuu wa Mkoa. NA NEEMA NKUMBI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, amewataka walimu kuepuka…
February 25, 2025, 3:40 pm
Serikali, sekta binafsi kuimarisha huduma za fedha nchini
“Exim yachangia vifaa vya matibabu vya shilingi milioni 25 Hospitali ya Wilaya Kahama” Uzinduzi wa tawi la Exim Bank Kahama ni uthibitisho wa ukuaji wa sekta ya benki, ushirikiano wa sekta binafsi na Serikali na dhamira ya kukuza uchumi wa…
February 24, 2025, 2:25 pm
Afariki kwa kupigwa shoti ya umeme akiiba nyaya
“Ulinzi wa miundombinu ya umeme ni jukumu letu sote, toeni taarifa kuhusu wanaohujumu. Pia wananchi epukeni kusogea kwenye Transfoma na njia za umeme kwani ni hatari. Ukiangalia hata hapa kwenye hii Transfoma kuna onyo kabisa kwamba ni HATARI”,amesema Mhandisi Tarimo.…
February 24, 2025, 12:48 pm
Ajeruhiwa na sungusungu kwa kudai Ujira wake
“Tunawashikilia Watuhumiwa wawili ambao ni Bundala Dalali na Issack Kulwa kwa kuhusika na tukio hili na upelelezi unaendelea tukikamilisha tutawafikisha Mahakamani,niwaombe Wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi na kama mtu amekamatwa kwa tuhuma ya wizi ni bora akafikishwa polisi,”amesema Magomi. NA…