Huheso FM

John Gabriel aeleza changamoto anazopitia baada ya kupata ajali

July 25, 2023, 1:59 pm

Mwanaume  huyu anayejulikana kwa jina la  John Gabriel  Mandale mkazi wa kata  ya Shunu  wilayani Kahama mkoani Shinyanga amejikuta anapitia  matatizo makubwa baada ya  kupata ajali  na kupasuka  kichwa   alipokuwa akitekeleza  majukumu yake ya kikazi huko  mkoani Geita Mgodini  hali iliyopelekea kutengwa na ndugu zake na kukosa msaada  wowote

John Gabriel Mhanga wa ajali. picha Anas Ibrahim