

15 April 2021, 6:09 pm
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoa wa Tabora imepokea jumla ya malalamiko 116 ambayo kati yake 50 yalikuwa na viashiria vya rushwa. Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari naibu mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Tabora Mashauri Elisante…
12 April 2021, 5:49 pm
Naibu waziri wa maliasiri na utalii Marry Masanja amezuia wananchi kufanya shughuli yoyote ndani ya hifadhi ya ISAWIMA wilayani Kaliua mkoani Tabora baada ya wananchi kuvamia hifadhi hiyo na kukaidi maelekezo ya serikali ya mkoa iliyowataka kuondoka. Naibu waziri amesema…
8 April 2021, 5:25 pm
Zaidi ya shilingi milioni 18 zimegharamia ujenzi wa matundu ya vyoo 13 katika shule ya msingi GONGONI kata ya KANYENYE Manispaa ya TABORA. Mhashamu Askofu Mkuu jimbo katoliki TABORA PAUL RUZOKA amesema hayo wakati wa kukabidhi jengo lenye matundu 13…
29 March 2021, 7:13 pm
Waumini wa madhehebu ya kikristo Mkoani Tabora wametakiwa kuendeleza mazuri aliyoyaacha Hayati Dokta John Magufuli ikiwa ni pamoja na kutunza tunu za kitaifa hususani amani, upendo na mshikamano. Hayo yameelezwa na Mkuu wa wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora Abel Busalama…
25 March 2021, 4:14 pm
Wafanyabiashara na wajasiriamali katika Manispaa ya Tabora wamesema watamkumbuka aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt John Pombe Magufuli kutokana na namna alivyo wapigania na kupata maeneo ya kufanyia biashara bila Bugudha. Wafanyabiashara hao akiwemo Haki Kasawa,Sheila Chambuso…
24 March 2021, 1:14 pm
Jamii katika Manispaa ya Tabora imesema inamuenzi na itaendelea kumkumbuka aliyekuwa Raisi wa awamu ya tano katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa juhudi na uchapakazi wake ikiwa ni pamoja na kuhakikisha watanzania wanapata huduma…