Recent posts
29 March 2021, 7:13 pm
Ibada maalumu ya kuliombea Taifa yafanyika Tabora
Waumini wa madhehebu ya kikristo Mkoani Tabora wametakiwa kuendeleza mazuri aliyoyaacha Hayati Dokta John Magufuli ikiwa ni pamoja na kutunza tunu za kitaifa hususani amani, upendo na mshikamano. Hayo yameelezwa na Mkuu wa wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora Abel Busalama…
25 March 2021, 4:14 pm
Wafanyabiashara Tabora wamlilia Hayati Dkt Magufuli
Wafanyabiashara na wajasiriamali katika Manispaa ya Tabora wamesema watamkumbuka aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt John Pombe Magufuli kutokana na namna alivyo wapigania na kupata maeneo ya kufanyia biashara bila Bugudha. Wafanyabiashara hao akiwemo Haki Kasawa,Sheila Chambuso…
24 March 2021, 1:14 pm
Wananchi Tabora waendelea kumuenzi Dkt. Magufuli
Jamii katika Manispaa ya Tabora imesema inamuenzi na itaendelea kumkumbuka aliyekuwa Raisi wa awamu ya tano katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa juhudi na uchapakazi wake ikiwa ni pamoja na kuhakikisha watanzania wanapata huduma…