

18 August 2023, 4:58 pm
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Sikonge imemwachia huru afisa muuguzi aliyekuwa akituhumiwa kwa ubakaji baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo hivyo kuonekana hana hatia. Na Salma Abdul Muuguzi wa daraja la pili katika hospitali ya wilaya ya Sikonge…
14 August 2023, 4:32 pm
Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha Tabora polytechic ambae alipotea kwa takribani siku kumi. Na Salma Abdul Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora kamishna msaidizi Richard Abwao amesema kuwa tukio…
4 August 2023, 3:46 pm
Wananchi wameombwa kufichua taarifa za wahalifu kufuatia kuwepo kwa idadi ndogo ya askari Polisi. Na Salma Abdul. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Maria Nzuki ameomba ushirikiano wa wananchi katika kutoa taarifa za vitendo vya uhalifu kwa Jeshi la…
4 August 2023, 3:15 pm
Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema maonesho ya nane nane yanalenga kujifunza mbinu mbalimbali za kilimo bora. Na Omary Khamis Wakulima kanda ya magharibi wametakiwa kushiriki maonesho ya nanenane ili kujifunza mbinu bora zitakazo wasaidia kuvuna mazao mengi na kupata…
14 July 2023, 11:10 am
Aliyekuwa kocha wa klabu ya mpira wa miguu ya Mashujaa FC Meja Mstaafu Abdul Migange amelaumu uongozi wa timu hiyo kutokana na kitendo cha kumuacha baada ya kuipandisha Ligi kuu ya Tanzania Bara Na Mussa Nkoningo Kocha aliyeipandisha timu Ya…
13 July 2023, 11:49 am
Jumla ya baiskeli 58 zimetolewa na kugawiwa; baiskeli mbili kila kata kwa vikundi vya wanawake UWT pamoja na vijana mkoani Tabora ili kuwasaidia kujikwamua kiuchumi. Na Zaituni Juma Mbunge wa viti maalum mkoani Tabora Munde Tambwe amesema baiskeli hizo zilizotolewa…
4 July 2023, 2:28 pm
Na Amos Inega Minga Rajabu mkazi wa kijiji cha Kazima kata ya Ifucha Manispaa ya Tabora ameomba msaada kwa wasamalia wema baada ya kuishi kwa maumivu zaidi ya miaka 10 kutokana na kuoza pua baada ya kujeruhiwa na kipande cha…
4 July 2023, 11:07 am
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo mbali mbali vya uhalifu vikiwemo vya wizi wa vifaa vya miundo mbinu ya maji. Na Nicholaus Mwaibale Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi Richard…
3 July 2023, 12:22 pm
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 1 na milioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya za msingi kwenye kata za Mtendeni, Mbugani na Tambukareli manispaa ya Tabora ili kuondoa tatizo la upungufu wa madarasa katika manispaa hiyo. Na…
1 July 2023, 6:32 pm
Serikali imetakiwa kuhakikisha kampuni zinazonunua tumbaku za wakulima wanalipwa kwa wakati. Rai hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa Hassan Wakasuvi. Akitolea ufafanuzi wa…