Recent posts
10 September 2024, 12:34 am
Wakunga wa jadi waacheni akinamama wajawazito
Wanawake wametakiwa kuwa na utaratibu wa kujifungulia katika vituo vya afya na hospitalini na kuachana na mila na desturi ya kujifungulia nyumbani kwa wakunga wa jadi .Hayo yameelezwa na Maria Chalalika wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mila…
10 September 2024, 12:00 am
Wanawake Kilosa waaswa kugombea nafasi za uongozi
Na Farida Hassan Uoga na kutojiamini zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea wanawake wengi nchini kushindwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi serikalini. Hayo yameelezwa na Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT Wilaya ya Kilosa Bi Joha…
9 September 2024, 11:46 pm
Wanawake Kilosa kipigo sasa basi, toeni taarifa
Na Farida Hassan Vitisho na vipigo ni miongoni mwa sababu kubwa zinazopelekea wanawake wengi nchini kushindwa kutoa taarifa za vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa na watu mbalimbali katika jamii hususani wenza wao. Kauli hiyo imetolewa na Diwani wa Viti Maalum Tarafa…
9 September 2024, 8:41 pm
Wadau watoa maoni habari za uongo zinavyoleta taharuki kwenye jamii
Mitandao ya kijamii imekuwa chanzo cha ongezeko la upashaji wa habari zisizo na ukweli kwa sababu watu wamekuwa wakitafuta umaarufu ama ufuatiliwaji na watu wengi katika kurasa za mitandao ya kijamii kwa kuwachafua wengine jambo ambalo mamlaka inapaswa kuweka misingi…
9 September 2024, 7:20 pm
Waandishi wa habari wanawake waiangukia serikali
Waandishi wa habari wanawake wameziomba mamlaka husika kutambua mchango wao katika tasnia ya habari nchini yenye dhumuni la kuihabarisha jamii katika masuala mbalimbali kama vile ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ili kuchagiza chachu ya maendeleo kupitia uhabarishaji. Na Asha Madohola…
4 September 2024, 12:54 pm
TFRA yazindua kampeni ya kilimo ni mbolea Kilosa
Ili kuikuza sekta ya kilimo pamoja na kuhakikisha wakulima wanapata tija katika kilimo kwa kujikwamua kiuchumi, serikali imekuja na mpango wa kuwasajili wakulima katika mfumo wa kidijitali utakaowawezesha kupata ruzuku ya mbolea. Na Asha Madohola Wito umetolewa kwa wakulima wa…
31 August 2024, 8:17 am
DC Shaka: Hamasisheni wananchi ushiriki uchaguzi serikali za mitaa
“Ustawi wa mwananchi wilayani Kilosa unategemea busara za Baraza hili, kila mmoja kwa nafasi yake ahakikishe malengo yaliyowekwa yanafikiwa kwa manufaa ya wana Kilosa na Taifa kwa ujumla na mkatumie mikutano yenu ya hadhara kuwahamasisha wananchi kujitokeza na kutumia haki…
28 August 2024, 12:59 pm
NMB yatoa msaada wenye thamani ya shilingi milioni 33.1 Kilosa
Na Asha Madohola Katika kuunga mkono juhudi za serikali kwenye sekta ya afya na Eeimu, benki ya NMB imetoa msaada wa madawati, meza na vifaa tiba ikiwemo mashine za kupimia mapigo ya moyo, magodoro na Mashuka vyenye thamani ya shilingi…
8 May 2024, 5:27 pm
Wanahabari Kilosa waaswa kuzingatia ukweli, haki na usawa
Mitandao ya kijamii inachangia kwa kiasi kikubwa kuifikia jamii kubwa katika kuwahabarisha, kuwaunganisha na kudumisha upendo na amani hivyo wajibu kwa waandishi kuwa na weledi ya kutosha katika kuitumia mitandao hiyo. Na Asha Madohola Waandishi wa habari wa Redio Jamii…
7 May 2024, 11:46 am
Wanafunzi Mazinyungu kufanyiwa uchunguzi wa macho, masikio
Serikali imedhamiria kuondoa tatizo la uoni hafifu na kutokusikia kwa wanafunzi wa shule za msingi nchini kwa kuweka mpango madhubuti wa kuwapima macho na masikio wanafunzi wote na watakaobainika waweze kupatiwa matibabu mapema ili isiwaathiri katika usomaji wao. Na Asha…