Radio Jamii Kilosa
Radio Jamii Kilosa
21 March 2021, 11:39 am
Waumini wa Romani katoliki parokia ya familia takatifu Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wametakiwa kubadirika ndani ya mioyo yao na kumrudia Mungu hasa kipindi hiki cha kwaresma kwa kufunga Kulia na kuomboleza kwakuwa hakuna anaejua siku wala saa ya kifo chake…
20 March 2021, 4:05 pm
Waumini wa Kanisa la Waadvendista wasabato Kilosa lililoko Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wameadhimisha wiki ya huduma kwa jamii kwa kufanya matendo ya huruma kama vile kuchangia damu , kutoa mahitaji kwa watu wenye mahitaji maalumu , ikiwa ni pamoja na…
17 March 2021, 11:57 am
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro kupitia idara ya afya wanatarajia kutoa elimu ya afya ya Kinywa na meno pamoja na vifaa vya kushafishia Kinywa kwa wanafuzi 2721 kwa ajili ya kujikinga na magonjwa mbalimbali ya Kimywa na meno.…
16 March 2021, 11:44 am
Zaidi ya bilion 1.27 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maji safi na salama Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro ili wananchi waweze kupata huduma ya maji saa 24 kwa mwaka . Hayo yamesemwa machi 16 2021 na Meneja wakala wa maji na…
16 March 2021, 9:42 am
13 March 2021, 4:30 am
Watoto wanaishi katika mazingira magumu walioko Kata ya magomeni Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro amba wanafahamika kwa jina la Magomeni Children Development Machide wamomba serikali na wadau mbalimba kuwatazama katika jicho la huruma ili kuwasaidia kutatua changamoto mbalimbali zinazo wakabili katika…
11 March 2021, 7:52 pm
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa rai kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kutambua kuwa Wilaya ya Kilosa ni wilaya ya kilimo iliyojaa mito yenye maji ya kutosha hivyo ni vema wilaya ikajikita zaidi katika uzalishaji ili kupata…
4 March 2021, 9:51 am
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ameonyesha kuridhishwa kwake na utendaji kazi wa kitengo kinachosimamia utekelezaji wa afua mbalimbali katika kitengo cha magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa namna ambavyo kimekuwa kikifanya majukumu yake na kutoa mrejesho chanya katika utekelezaji…
28 February 2021, 11:23 am
Chama cha ushirika Saccos ya Walimu Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro kimepoteza fedha zaidi ya shilingi Bilioni 1.6 baada ya wanachama na wanufaika wengine kukopa na kushindwa kurejesha kwa wakati kutoka mwaka 2007 hadi 2017 ambapo Mrajisi msaidizi wa vyama…
18 February 2021, 12:14 pm
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kwa pamoja limepitisha bajeti ya kiasi cha shilingi bilioni 66,286,660.980.70 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wake wa matumizi katika sekta mbalimbali ikiwemo miradi ya maendeleo katika kipindi cha mwaka 2021/2022. Akisoma taari…
Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu