Radio Jamii Kilosa
Radio Jamii Kilosa
04/02/2023, 22:42
Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kuwa, ihakikishe inapima eneo la Shamba ambalo Serikali ilikabidhi Halmashauri hiyo na kuwapatia Wananchi kwa kuwapatia hati ndogo inayoonyesha umiliki halali wa eneo hilo. Na Epiphanus Danford Waziri huyo…
02/02/2023, 14:12
Kutokujua sheria kwa wananchi imeelezwa ndio chanzo cha migogoro ya ardhi ya kudumu katika wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro ambayo huchochea migogoro ya wakulima na wafugaji hali inayochangia punguza ukuaji wa shughuli za kiuchumi. Na Asha Madohola Halmashauri Ya Wilaya…
31/01/2023, 12:16
Wazazi na walezi watakiwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ambayo inatolewa bila malipo pamoja na kuwalea katika maadili mema kwa kuwarithisha mila na desturi njema ili kuwa taifa lenye sifa njema na maadili mema. By Asha Mado Katika kuhakikisha watoto…
30/01/2023, 13:45
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa wakulima wilaya ya Kilosa wametakiwa kulima kilimo ikolojia ambacho ni Kilimo rafiki kwa mazingira na kinasaidia kupunguza gharama za kununua madawa na mbolea kwa ajili ya kustawisha mashamba na kuua wadudu kwenye mazao.…
30/01/2023, 09:32
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kilosa (OCD) Hasani Selengu ameliongoza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilosa Katika Kufanya Usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa leo Januari 27 Mwaka huu 2023 .. Wakati wakendelea kufanya usafi huo wa kufyeka nyasi…
30/01/2023, 09:32
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb)amewataka wafugaji kubadilika kwa kuacha mfumo wa ufugaji wa mazoea kwa kutegemea ardhi ya Jumuiya na badala yake wawe na eneo la kufugia Mifugo Yao eneo ambalo atatumia liwe linatambulika kisheria. Waziri…
30/01/2022, 13:51
Wito umetolewa kwa jamii Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro kujenga tabia ya kushiriki kufanya usafi wa Mazingira na kupanda miti kwa ajili ya kuepuka magojwa ya mlipuko na kutunza Mazingira Wilayani humo . Wito huo umetolewa Januari 29 mwaka huu na…
27/11/2021, 02:16
08/09/2021, 02:58
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe ameagiza kuharakishwa kwa ujenzi wa vituo viwili vya afya vilivyopatiwa fedha mwaka huu 2021/2022 kiasi cha shilingi milioni mia tano kila kituo pamoja na shule…
Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu