Radio Jamii Kilosa
Radio Jamii Kilosa
13 February 2023, 3:57 pm
Siku ya Redio duniani huadhimishwakila ifikapo Tarehe 13, Februari kila mwaka, ambapo siku hii ilianzishwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO), mnamo mwaka 2012 mara baada ya baraza kuu la Unesco kutambua umuhimu wake.…
4 February 2023, 10:42 pm
Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kuwa, ihakikishe inapima eneo la Shamba ambalo Serikali ilikabidhi Halmashauri hiyo na kuwapatia Wananchi kwa kuwapatia hati ndogo inayoonyesha umiliki halali wa eneo hilo. Na Epiphanus Danford Waziri huyo…
2 February 2023, 2:12 pm
Kutokujua sheria kwa wananchi imeelezwa ndio chanzo cha migogoro ya ardhi ya kudumu katika wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro ambayo huchochea migogoro ya wakulima na wafugaji hali inayochangia punguza ukuaji wa shughuli za kiuchumi. Na Asha Madohola Halmashauri Ya Wilaya…
31 January 2023, 12:16 pm
Wazazi na walezi watakiwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ambayo inatolewa bila malipo pamoja na kuwalea katika maadili mema kwa kuwarithisha mila na desturi njema ili kuwa taifa lenye sifa njema na maadili mema. By Asha Mado Katika kuhakikisha watoto…
30 January 2023, 1:45 pm
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa wakulima wilaya ya Kilosa wametakiwa kulima kilimo ikolojia ambacho ni Kilimo rafiki kwa mazingira na kinasaidia kupunguza gharama za kununua madawa na mbolea kwa ajili ya kustawisha mashamba na kuua wadudu kwenye mazao.…
30 January 2023, 9:32 am
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kilosa (OCD) Hasani Selengu ameliongoza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilosa Katika Kufanya Usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa leo Januari 27 Mwaka huu 2023 .. Wakati wakendelea kufanya usafi huo wa kufyeka nyasi…
30 January 2023, 9:32 am
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb)amewataka wafugaji kubadilika kwa kuacha mfumo wa ufugaji wa mazoea kwa kutegemea ardhi ya Jumuiya na badala yake wawe na eneo la kufugia Mifugo Yao eneo ambalo atatumia liwe linatambulika kisheria. Waziri…
30 January 2022, 1:51 pm
Wito umetolewa kwa jamii Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro kujenga tabia ya kushiriki kufanya usafi wa Mazingira na kupanda miti kwa ajili ya kuepuka magojwa ya mlipuko na kutunza Mazingira Wilayani humo . Wito huo umetolewa Januari 29 mwaka huu na…
27 November 2021, 2:16 am
Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu