Recent posts
January 17, 2025, 5:41 pm
Watatu washikiliwa na polisi Shinyanga kwa mauaji
Na Neema Nkumbi Mwili wa Mwanamke Asha Mayenga anayekadiriwa kuwa na miaka 62 alieuawa na kuzikwa Malindi Mtaa wa Seeke Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama umefukuliwa na kutambuliwa na ndugu zake. Tukio la kufukua kaburi limefanyika januari 17, 2025 ambapo…
January 16, 2025, 12:20 pm
Mikopo ya halmashauri yainufaisha familia ya Mzee Lukuba
“Awali, wanawake walikuwa wanajiunga na vikundi na kukopa bila kushirikisha waume zao, hali ambayo ilileta migogoro familia kwa familia,” Na Neema Nkumbi Familia ya Mzee Lukuba Washa imefanikiwa kujenga nyumba ya kisasa na kununua ng’ombe watano kupitia mikopo ya halmashauri…
December 9, 2024, 9:19 am
Majengo ya WFP Isaka Kahama yakabidhiwa serikali
Shirika la chakula duniani World Food Programme (WFP) limekabidhi kwa serikali majengo na ardhi iliyokuwa ikitumia katika Kata ya Isaka Wilayani Kahama mkoani Shinyanga yenye ukubwa wa hekari saba sawa na kilomita za mraba 29,450. Na Paschal Malulu-Huheso FM KAHAMA…
September 13, 2024, 3:54 pm
Maafisa wa majeshi wafanya usafi, kutoa msaada hospitali ya Kahama
Jeshi la polisi, Jeshi la Magereza na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kwa pamoja wamefanya usafi wa mazingira na kutoa misaada mbalimbali kwa watoto njiti katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama. Na Paschal Malulu-Huheso FM…
September 11, 2024, 5:20 pm
Binti wa miaka 16 ajifungua, atembezewa kipigo na mumewe
Na Veronica Kazimoto-Huheso FM Familia ya binti mwenye umri wa miaka 16 (jina limehifadhiwa) mkazi wa Nyihogo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga aliyejifungua kwa oparesheni imelazimika kumchukua baada ya kufanyiwa ukatili wa kupigwa na mume wake huku akiwa hajapona. Hayo…
September 10, 2024, 4:35 pm
Madiwani Ushetu waliomba jengo lao Manispaa ya Kahama
Madiwani wa halmashauri ya Ushetu wameiomba serikali ya Mkoa wa Shinyanga kufanya utaratibu wa kuwarejeshea jengo lililopo manispaa ya Kahama ambalo lilikuwa likimilikiwa na halmashauri hiyo kabla ya kujitenga na kuzalishwa kwa halmashauri ya Ushetu na Msalala. Wakiongea kwenye kikao cha mwaka…
September 9, 2024, 3:49 pm
Auawa kwa kuchomwa moto na wasiojulikana Ushetu
“Tukio hili ni kwanza kutokea katika kijiji hiki na hatufahamu kabisa akina nani wamefanya tukio hili na hatumfahamu huyu mtu lakini kwa vile polisi wamefika uchunguzi utafanyika na itajulikana hii ni mara ya kwanza kwa tukio kama hili” Na Mwandishi…
August 20, 2024, 2:37 pm
Kahama: Soko la Phantom halina maji, vyoo
Na Rose Dominick, Lilian Francis Wafanyabiashara wa soko la Phantom lililopo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamelalamikia uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Nyasubi kwa kushindwa kukamilisha huduma ya choo hali inayosababisha watumiaji wa soko hilo kuvuka ng’ambo ya barabara…
August 19, 2024, 2:51 pm
Gari la uzoaji taka lazua malalamiko Kahama
Na, Neema Yohana, Veronica Kazimoto Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Nyasubi Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wameiomba serikali ya mtaa wa Nyasubi Kutatua changamoto ya kuchelewa kwa gari linalotumika kukusanya taka zinazozalishwa kwenye makazi yao. Wametoa ombi hilo wakati…
August 8, 2024, 4:01 pm
Nyonyo kuanguka chanzo cha unyonyeshaji duni Ushetu
Jamii katika halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga imetakiwa kuachana na imani potofu zinazochangia uwepo wa unyonyeshaji duni hali inayosababisha utapiamlo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Kauli hiyo imetolewa na mgeni rasmi ambaye ni diwani wa…