31 March 2026, 12:09 pm
Audio

Utelekezaji wa familia unavyoathiri malezi ya watoto

Makala hii inaelezea mwanamke ambae aliyetelekezwa na mumewake baada ya kupata ulemavu na kusababisha mzigo wa malezi kwa mzazi mmoja. Na Zaituni Juma akishirikiana na Nicholaus Mwaibale Bi Tausi ni mama wa watoto watatu mkazi wa Manispaa ya Tabora, ambaye…

On air
Play internet radio

Recent posts

16 October 2026, 7:10 pm

Jamii yahimizwa kulinda haki za mtoto wa kike

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yanayoadhimishwa Oktoba 11 ya kila mwaka yatumike kwa jamii kulinda haki za mtoto wa kike na kumkinga dhidi ya vitendo vya ukatili. Na Julius Julius Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa…

12 October 2026, 3:26 pm

Wazee wanasikilizwa kwa kiasi gani?

Siku ya Wazee Duniani inayoadhimishwa Oktoba 01 ya kila mwaka ni fursa ya kuthamini mchango wa wazee na kuhakikisha wanapata huduma na heshima wanayowastahili. Na Mwanne Jumaa na Samir Salum Jamii imetakiwa kutowatelekeza wazee na badala yake kuhakikisha wanapata mahitaji…

12 October 2026, 12:37 pm

Kanda ya Magharibi watakiwa kufuatilia taarifa za El Niño

“Bado mikoa ya Kanda ya Magharibi haujatoka utabiri ila lazima tujiandae” Na Elson Sabuni Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania – TMA Kanda ya Magharibi imewataka wananchi kutopuuza uwezekano wa mabadiliko ya mwenendo wa mvua yanayoweza kuchangiwa na El nino.…

7 October 2026, 5:09 pm

NSSF yakabidhi vifaa saidizi vya milioni 1.2 hospitali ya Kitete

Utoaji wa vifaa saidizi kwa watoto wenye changamoto ya utindio wa ubongo ni matokeo ya wazo lililotolewa na Uongozi wa Hospital ya Kitete ili kuwasaidia watoto hao kupata tiba ya viungo na mazoezi kwa urahisi. Na Zaituni Juma Mfuko wa…

5 August 2026, 1:51 pm

Ukatili wa kingono unavyowaathiri wenye changamoto ya afya ya akili

Makala hii inaelezea kuhusu ukatili wa kingono wanaofanyiwa wasichana wenye matatizo ya afya ya akili. Na Zaituni Juma akishirikiana na Nicolaus Mwaibale Msichana mwenye umri wa miaka 16 (mwenye tatizo la afya ya akili) mkazi wa Manispaa ya Tabora alifanyiwa…

3 June 2026, 2:27 pm

Ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana chanzo mimba za utotoni

Makala hii inaelezea binti aliyekatisha masomo kutokana na kupata ujauzito akiwa na umri mdogo. Na Zaituni Juma na Nicholaus Mwaibale Binti Linaya (ambaye si jina lake halisi) mkazi wa Manispaa ya Tabora alipata ujauzito akiwa kidato cha nne na kukatisha…

31 March 2026, 12:09 pm

Utelekezaji wa familia unavyoathiri malezi ya watoto

Makala hii inaelezea mwanamke ambae aliyetelekezwa na mumewake baada ya kupata ulemavu na kusababisha mzigo wa malezi kwa mzazi mmoja. Na Zaituni Juma akishirikiana na Nicholaus Mwaibale Bi Tausi ni mama wa watoto watatu mkazi wa Manispaa ya Tabora, ambaye…

3 October 2025, 9:05 am

Wahudumu wa bucha watakiwa kupima afya

Na Zabron G Balimponya Wahudumu wa kutoa huduma ya nyama katika mabucha wameshauliwa kutouza kipande cha nyama chenye muhuri wa daktali hadi kiwe cha mwisho ili kipande hicho kitumike kumlidhisha mteja kwamba nyama hiyo imepimwa na ni salama kiafya Hayo…

2 October 2025, 7:58 pm

Elimu ya stadi za maisha yawafikia vijana, wazee

Serikali yaombwa kutoa ushirikiano kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi. Na Zabron G Balimponya Serikali imeombwa kuendelea kutoa ushirikiano wa kutosha wa kutambua watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi  na kuwatambua wale wanaoweza kuwasaidia kutoka katika hatali hiyo ili watoto hao…