Radio Jamii Kilosa
Radio Jamii Kilosa
6 January 2021, 3:10 pm
Wananchi Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wahamasishwa kupanda Miti na Maua pamoja na kusafisha mifereji ya maji ya mvua Katika maeneo yao Ili Kutunza mazingira. Akizungumza na Radio Jamii Kilosa januari 6,2021 Afisa Mazingira Kilosa Anthony Mbise amesema kuwa ni vizuri…
6 January 2021, 2:17 pm
6 January 2021, 10:14 am
Akizungumza na Radio Jamii Kilosa Januari 6 ,2021 Afisa Mazingira Bwana Anthony Heriel Mbise amesema kuwa ni vyema wananchi wakatumia mvua zinazo endelea kunyesha kipindi hiki kupanda Miti na Maua. Amesema kuwa Maua yanasaidia kupendezesha mazingira yanayo zunguuka na Miti…
6 January 2021, 8:56 am
6 January 2021, 8:36 am
17 December 2020, 9:13 am
Wananchi Wilayani Kilosa na Mkoa wa Morogoro kiujumla wamehimizwa kukata kadi za bima ya afya kwa ajili ya familia zao kwani kadi hizo ni muhimu na zinasaidia kupata matibabu kwa urahisi hata nyakati ambazo mtu anakuwa hana fedha kwa ajili…
Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu