Radio Jamii Kilosa

Recent posts

2 February 2021, 11:20 am

Shule ya Sekondari Mazinyungu yajipanga Kuizika Sifuri 2021.

Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya Sekondari Mazinyungu Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wemejipanga kuzika Daraja sifuri ili isionekane shuleni hapo katika matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2021. Wakizungumza Januari 29 mwaka huu katika kikao mkakati cha kuzika sifuri…

26 January 2021, 11:37 am

Tanesco kumaliza tatizo la kukatika umeme Kilosa- Meneja Tanesco

Shirika la Umeme Tanzania Tanesco wilayani Kilosa limejipanga kikamilifu kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara katika baadhi ya maeneo kunakosababishwa na nguzo chakavu zilizooza ama kuanguka. Akizungumza Januari 26 2021 katika kipindi cha Mambo Mseto kinachorushwa na…

21 January 2021, 1:44 pm

Jamii imetakiwa kula Mlo kamili kuimarisha Kinga ya Mwili-Kilosa

Wito umetolewa kwa jamii kula Mlo kamili kwa kuzingatia makundi matano ya Chakula ili kuimarisha Kinga ya Mwili Isishambuliwe na magonjwa. Wito huo umetolewa januari 21, 2021 na Mratibu wa Shughili za Wahudumu kutoka Mradi wa Lishe endelevu Wilayani Kilosa…

16 January 2021, 7:38 pm

Wakuu wa shule watakiwa kumaliza Ujenzi wa Madarasa Kilosa -Mgoyi.

Katika kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuwa ifikapo tarehe 15 Januari miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa iwe imekamilika Mkuu Wa Wilaya ya Kilosa  Adam Mgoyi ametembelea miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule…

16 January 2021, 7:05 pm

Katika kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuwa ifikapo tarehe 15 Januari miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa iwe imekamilika Mkuu Wa Wilaya ya Kilosa  Adam Mgoyi ametembelea miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule…

14 January 2021, 2:31 pm

Takukuru yaokoa shilingi milioni 8.3 Kilosa.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro imefanikiwa kuokoa fedha kiasi cha shilingi milioni 8,300,000 Kati ya milioni 212,503,559.29 ambazo chama cha Ushirika wa Akiba na mikopo cha Walimu Wilayani humo (Kilosa Teachers Saccos) kinadai…

MISSION AND VISSION

Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu