06/12/2024, 20:16

Wilaya ya Kilosa imeanza mchakato wa bajeti ya kuboresha lishe

Wito umetolewa kwa serikali kutoa fedha kwa wakati na kwa kiwango kinachohitajika, huku jamii ikihamasishwa kuchukua jukumu kubwa katika kuhakikisha kila kaya inazingatia lishe bora kwa ajili ya afya na ustawi wa watoto. Na. Asha Rashid Madohola Wilaya ya Kilosa…

On air
Play internet radio

Recent posts

19/03/2026, 15:33

Kilosa wahimiza lishe kwa watoto

Watoto walio chini ya miaka mitano wanahitaji chakula chenye lishe bora ili kusaidia ukuaji wa mwili na maendeleo ya akili ambayo husaidia kuzuia udumavu, magonjwa yanayotokana na upungufu wa virutubisho. Na Asha Madohola Wananchi wilayani Kilosa wametakiwa kuhakikisha watoto walio…

19/03/2026, 14:19

IDRAS yarahisisha ulipaji kodi Kilosa

Mfumo Jumuishi wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) ni mfumo wa kidijitali unaotumiwa na TRA kurahisisha huduma za kodi kwa walipakodi unaorahisisha wafanyabiashara kufanya malipo ya kodi. Na Aloycia Mhina Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Kilosa imewataka…

12/03/2026, 14:08

Kambi ya afya bure yawafikia wananchi Kilosa

Vodacom Tanzania Foundation imewadhamini madaktari bingwa kutoa huduma za matibabu kupitia kambi ya afya bure kwa wananchi ambapo inalenga kupima na kutibu magonjwa yasiyoambukiza kama saratani, matatizo ya macho, meno na tezi dume. Na Asha Madohola Madaktari bingwa kutoka Hospitali…

12/03/2026, 11:03

Watoto wenye mahitaji maalum wakumbukwa Kilosa

Kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalum ni muhimu kwa sababu huwapa fursa sawa ya kupata elimu, huduma za afya na malezi bora kama watoto wengine na huchangia kupunguza unyanyapaa na kuhakikisha wanapata mazingira salama na bora ya kukua na kufikia ndoto…

08/03/2026, 11:00

DC Kilosa azindua chanjo ya mifugo

Chanjo ya mifugo ni dawa maalum inayochomwa wanyama kama ng’ombe, mbuzi, kondoo na kuku ili kuwakinga dhidi ya magonjwa mbalimbali na husaidia kupunguza vifo vya mifugo, kuongeza uzalishaji wa maziwa na nyama, pamoja na kuhakikisha mifugo inakuwa na afya bora.…

05/03/2026, 10:24

Kilosa yahamasishwa kupima kisukari mapema

Kisukari ni ugonjwa unaotokea pale mwili unaposhindwa kuzalisha au kutumia vizuri homoni ya insulini, hali inayosababisha kuongezeka kwa kiwango cha sukari kwenye damu na kupima mapema huokoa maisha na husaidia kuepuka madhara makubwa kama matatizo ya figo na magonjwa ya…

03/03/2026, 13:21

DC Kilosa azindua Bima ya Afya kwa Wote

Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote ni mpango wa Serikali ya Tanzania unaolenga kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma za afya bila kuathiriwa na gharama kubwa za matibabu na mpango huu unasimamiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya…

14/01/2026, 15:18

Vifo vya mama na mtoto vyapungua Kilosa

Uboreshaji wa huduma katika vituo vya afya pamoja na kuongezeka kwa uelewa wa jamii kuhusu umuhimu wa kujifungua salama umeelezwa kuwa miongoni mwa mafanikio ya jitihada za serikali katika kuboresha afya ya mama na mtoto wilayani Kilosa. Na Asha Madohola…

14/01/2026, 12:55

Vikundi 38 vyanufaika na mikopo Kilosa

Mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri ya Wilaya ni mpango wa serikali unaolenga kuwawezesha kiuchumi wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa kutumia asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri (asilimia 4 kwa wanawake, 4 kwa vijana na…

16/12/2025, 11:03

Vitamin A, dawa za minyoo zatolewa Kilosa

Mwezi wa Afya na Lishe ni kampeni ya kitaifa inayofanyika kila mwaka kuanzia Desemba 1 hadi 31, yenye lengo la kuboresha afya ya mama na mtoto kwa kutoa huduma muhimu za lishe katika vituo vya kutolea huduma za afyana huduma…

MISSION AND VISSION

Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu