Recent posts
July 22, 2022, 11:29 am
Wananchi Kahama watakiwa kushiriki zoezi la sensa
Wananchi Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi litakalofanyika Agosti 23, 2022. Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga leo Julai 21, 2022 wakati akizungumza na HUHESO fm amesema maandalizi…
July 14, 2022, 6:03 pm
Ukarabati wa soko la Malunga kukamilika baada ya wiki mbili
Zoezi la ukarabati miundombinu ya soko la Malunga Mansipaa ya Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya gulio linaendelea na linatarajiwa kukamilka wiki mbili zijazo. Akizungumza na Huheso Fm leo julai 14, 2022 Mwenyekiti wa masoko na magulio manispaa ya…
July 6, 2022, 8:02 pm
Maafisa Manispaa ya Kahama wapatiwa pikipiki za utekelezaji majumu yao
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga imegawa jumla ya pikipiki 19 kwa Maafisa kilimo, Bibi maendeleo ya jamii na watendaji katika Kata za Manispaa hiyo Akizungumza baada ya zoezi la ugawaji wa pikipiki hizo Mstahiki Meya wa Manispaa ya…
June 17, 2022, 12:46 pm
HABARI ZA SENSA ZITOKE KWENYE VYANZO SAHIHI
Wahariri wa vyombo vya habari vya Redio jamii wameombwa kuhakikisha wanashiriki zoezi la sensa kwa weledi kwa kutoa taarifa za habari zenye vyanzo sahihi kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Hayo yamesemwa na muwasilisha mada Dkt. Abubakar Rajab katika mafunzo ya…
June 16, 2022, 5:54 pm
WAHARIRI WAPIGWA MSASA UANDISHI WA HABARI ZA SENSA
March 25, 2022, 7:17 pm
Wananchi watakiwa kushiriki anuani za makazi
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga Clemence bernald Mkusa amewataka wananchi wilayani humo kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la anuani za makazi ili kurahisisha watoaji wa huduma ya sensa kufahamu mipango ya maendeleo katika jamii. Ameyasema hayo leo katika…
March 24, 2022, 6:00 pm
Wanafunzi na walimu wa clubs za GBV wapanga mpango endelevu wa ulinzi na usalama…
Kutokana na kutokuwepo kwa ulinzi na usalama wa mtoto ndani na nje ya shule wanafunzi wa clubs za kupinga ukatili wa kijinsia GBV wilayani kahama mkoani shinyanga wamesema imekua chanzo kikubwa kinachosababisha kutendendeka kwa vitendo vya ukatili kwenye jamii. Wameyasema…
March 14, 2022, 1:51 pm
Wajumbe MTAKUWA wapanga mikakati ya kupinga ukatili wa kijinsia.
Wajumbe wa kamati ya MTAKUWA Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamekutana katika kikao cha Mradi wa Mwanamke Amka ili kujadili mpango kazi ambao utatokomeza ukatili wa kijinsia huku wanaume wakitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa kinacho chochea ukatili. Akizungumza wakati wa kikako…
March 12, 2022, 12:21 pm
Madimbwi ya maji changamoto katika makazi ta watu
Kutokana na kuwepo kwa madimbwi ya maji kwenye maeneo ya makazi ya watu katika msimu wa huu wa mvua wananchi wa Mtaa wa Sokola Kata ya Majengo iliyopo Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wamesema wanachukua tahadhari ya kuziba madinbwi hayo…
March 12, 2022, 12:09 pm
Elimu yaendelea kutolewa kupinga ukatili wa kijinsia.
Ili kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia katika manispaa ya kahama Mkoani shinyanga wajumbe wa mradi wa mwanamke amka wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwenye jamii hasa kwa watoto walioko mashuleni. Hayo yamesemwa na mkuu wa dawati la jinsia na watoto…