Recent posts
May 15, 2024, 11:17 am
Mkoa wa Shinyanga watajwa kuongoza kwa ukatili
Vitendo vya ukatili kwa watoto hasa ulawiti wa watoto wa kiume zimeendelea kushamiri huku akina mama wakitajwa kutochukua hatua ya kuwalinda watoto. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Shinyanga, Grace Bizulu amewataka wazazi na walezi…
May 14, 2024, 3:58 pm
Miundombinu ya umeme yaanza kuwekwa mashine za mpunga Kahama
Siku chache baada ya kurusha taarifa ya changamoto ya kukosekana kwa umeme wa kutosha katika eneo la viwanda vidogo na vya kati vya kuchakata mpunga/mchele, lililopo kata ya Kagongwa manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, shirika la Umeme Tanzania TANESCO wilayani…
May 11, 2024, 5:00 pm
Hakuna kupita bila kupingwa-ACT Wazalendo
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amekabidhiwa uchifu (utemi wa nchi) na wazee wa Kahama, kuwa mtemi/chifu wa kabila la wasukuma na wanyamwezi. Zoezi hilo limefanyika…
May 10, 2024, 6:38 pm
Wanafunzi wapatiwa elimu ya mlipa kodi na TRA
“Mafunzo ambayo tunayaandaa yanalenga kuwafundisha vijana wetu wakiwa wadogo hasa wanafunzi wa shule za Msingi, Sekondari na vyuoni kujua maana ya kulipa kodi, umuhimu wa kodi ni nini, kwanini serikali zote duniani zinaweka kodi. Kodi ni malipo ya lazima ambayo…
May 9, 2024, 8:59 pm
Waendesha baiskeli mapacha wafariki Shinyanga
“Tumepokea taarifa za kifo cha vijana wetu kwa masikitiko makubwa, wamefariki dunia kwa kugongwa na gari wakiwa watatu kwenye pikipiki. Inasikitisha sana watu waliozaliwa siku moja, wakafa siku moja, …tulikuwa tunawaandaa kwenda kushiriki mashindano nje ya nchi” Waendesha Baiskeli Mabingwa…
May 8, 2024, 2:17 pm
Mifugo yaripotiwa kuuawa kwa sumu za viwanda vya dhahabu
“Mheshimiwa Mwenyekiti kwanza kabisa binafsi kwa hoja hii iliyotolewa hapa kwenye Baraza lako binafsi sijawahi kupata malalamiko hayo sisi kama halmashauri gharama za usajili ni shilingi elfu kumi (10,000) pekee kwa kikundi tutaendelea kufuatilia ubadhilifu huo” Alisema Judica Sumari. NA…
April 7, 2024, 4:30 pm
Cherehani apongezwa kuwezesha mawasiliano, atoa ahadi ya maji
“Mpaka sasa jimbo la Ushetu tunaendelea kulifungua kwa miradi mbalimbali ikiwemo ya barabara na madaraja kwenye barabara zinazohitaji madaraja hivyo serikali chini ya mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Ushetu tunamshukuru kwa kuendelea kutupatia fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi…
March 27, 2024, 12:35 pm
Watu wawili wanashikiliwa na polisi kwa kutengeneza silaha, Shinyanga
“Pia mnamo tarehe 17/03/2024 huko maeneo ya Kijiji cha Bugomba “A”, Kata ya Ulewe, Tarafa ya Mweli Wilaya ya Kipolisi Ushetu na Mkoa wa Shinyanga Jeshi la Polisi lilimkamata mtuhumiwa mmoja na baada ya kupekuliwa nyumbani kwake alikutwa akiwa na…
March 25, 2024, 1:13 pm
Kishimba akabidhi mawe na fedha ujenzi wa Mitaro jimboni kwake
Neema Nkumbi-Huheso FM Mbunge wa Jimbo la Kahama mjini Mheshimiwa Jumanne Kishimba amekabidhi mifuko 50 ya saruji pamoja fedha shilingi milioni moja kwa ajili ya ujenzi wa mitaro unaoendelea Kata ya Majengo katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga. Mifuko hiyo…
March 21, 2024, 12:38 pm
Viongozi kituo cha mabasi Kahama wadaiwa kujinufaisha milioni 19, DC Mhita awaka
Umoja wa vikundi mbalimbali vilivyopo kituo cha mabasi cha CDT wamemuomba mkuu wa Wilaya ya Kahama Mheshimiwa Mboni Mhita kuwasaidia kutatua changamoto zinazowakabili katika eneo hilo ikiwemo urejeshwaji wa fedha zinazodaiwa “kutafunwa” na baadhi ya viongozi waliotoka madarakani. Na Neema…