Huheso FM

Recent posts

July 4, 2024, 11:40 am

Halmashauri zisizokuwa na vituo vya uwezeshaji vyatakiwa kuanzisha

Mwenyekiti wa Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC) Prof. Aurelia Kamuzora ametoa wito kwa Halmashauri ambazo hazijaanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kichumi  kuanzisha vituo hivyo ili  kutoa fursa na elimu mbalimbali ikiwemo elimu ya mifumo ya matumizi ya Tehama kwa…

May 30, 2024, 12:10 pm

Muuza Chips mbaroni kwa tuhuma mauaji

“Tunamshikilia huyu bwana kwa sababu tunafanya uchunguzi na walikuwa na kesi kuhusu hatima ya talaka yao ambayo ilitakiwa itolewe tarehe 28 mwezi huu wa tano hivyo tukikamilisha uchunguzi tutamfikisha mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria” Na Neema Nkumbi-Huheso FM Jeshi…

May 27, 2024, 12:39 pm

Dawa bandia za binadamu zakamatwa Kahama

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kukamata pikipiki 16 za wizi na zisizo na kadi, viroba 25 vya madawa ya kulevya aina ya mirungi, Tv 01, mzani 01, redio 01, pombe ya moshi lita 20 pamoja na pakti 86…

May 22, 2024, 12:06 pm

Mtoto azaliwa amevunjika mkono, wauguzi waomba fedha

Na Anas Ibrahim-Huheso Fm Imeelezwa kuwa Sofia Budeba mkazi wa kijiji cha Nyangota katika kata ya Ngaya halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga, Sofia Budeba anadaiwa kujifungua mtoto akiwa amevunjika mkono. Akizungumza na wanahabari Sofia Budeba amesema alifika katika zahanati ya…

May 16, 2024, 6:27 pm

Watoto wafariki wakiogelea bwawani Shinyanga

Watoto watatu wakazi wa Kata ya Tinde Wilaya ya Shinyanga, Mkoa wa Shinyanga wamefariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la Ngaka lililopo katika kijiji cha Nyambuhi walipoenda kuogelea. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio wamesema tukio hilo limetokea Mei…

May 16, 2024, 6:09 pm

Mgogoro wa miaka 25 soko la Magwanji Kahama watatuliwa

Na Neema Nkumbi- Huheso Fm Wakazi wa Mtaa wa Nyakato, Kata ya Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameishukuru serikali ya Mtaa huo, kwa kumaliza mgogoro wa soko la Magwanji uliodumu kwa Zaidi ya miaka 25 uliokuwa ukikwamisha kuanza…

May 15, 2024, 11:17 am

Mkoa wa Shinyanga watajwa kuongoza kwa ukatili

Vitendo vya ukatili kwa watoto hasa ulawiti wa watoto wa kiume zimeendelea kushamiri huku akina mama wakitajwa kutochukua hatua ya kuwalinda watoto. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Shinyanga, Grace Bizulu amewataka wazazi na walezi…

May 14, 2024, 3:58 pm

Miundombinu ya umeme yaanza kuwekwa mashine za mpunga Kahama

Siku chache baada ya kurusha taarifa ya changamoto ya kukosekana kwa umeme wa kutosha katika eneo la viwanda vidogo na vya kati vya kuchakata mpunga/mchele, lililopo kata ya Kagongwa manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, shirika la Umeme Tanzania TANESCO wilayani…

May 11, 2024, 5:00 pm

Hakuna kupita bila kupingwa-ACT Wazalendo

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amekabidhiwa uchifu (utemi wa nchi) na wazee wa Kahama, kuwa mtemi/chifu wa kabila la wasukuma na wanyamwezi. Zoezi hilo limefanyika…