Radio Jamii Kilosa
Radio Jamii Kilosa
26/01/2021, 11:37
Shirika la Umeme Tanzania Tanesco wilayani Kilosa limejipanga kikamilifu kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara katika baadhi ya maeneo kunakosababishwa na nguzo chakavu zilizooza ama kuanguka. Akizungumza Januari 26 2021 katika kipindi cha Mambo Mseto kinachorushwa na…
21/01/2021, 13:44
Wito umetolewa kwa jamii kula Mlo kamili kwa kuzingatia makundi matano ya Chakula ili kuimarisha Kinga ya Mwili Isishambuliwe na magonjwa. Wito huo umetolewa januari 21, 2021 na Mratibu wa Shughili za Wahudumu kutoka Mradi wa Lishe endelevu Wilayani Kilosa…
16/01/2021, 19:38
Katika kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuwa ifikapo tarehe 15 Januari miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa iwe imekamilika Mkuu Wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametembelea miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule…
16/01/2021, 16:49
Katibu Mkuu Kilimo Gerald Kusaya ametoa muda hadi ifikapo mwisho wa mwezi huu mkandarasi Lukolo Construction Ltd awe amekamilisha ujenzi wa mradi wa skimu ya umwagiliaji ya Kilangali ili itumike na Wakala wa Mbegu wa Taifa ( ASA) kuzalisha mbegu…
14/01/2021, 14:31
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro imefanikiwa kuokoa fedha kiasi cha shilingi milioni 8,300,000 Kati ya milioni 212,503,559.29 ambazo chama cha Ushirika wa Akiba na mikopo cha Walimu Wilayani humo (Kilosa Teachers Saccos) kinadai…
14/01/2021, 02:55
Wakati shule zikifunguliwa kwa ajili ya wanafunzi kuanza rasmi masomo yao Januari 11 mwaka huu mkoa wa Morogoro upande wa elimu sekondari umejipanga kuishi katika kauli mbiu ya hakuna kipindi kupotea lengo likiwa ni kuhakikisha wanafunzi wanafaulu katika kiwango kizuri kinachoridhisha. Hayo yamebainishwa…
08/01/2021, 11:26
Malezi kwa makuzi ya mtoto yana faida kwa maisha ya baadaye ya mtoto hasa katika kumuimarisha kiuchumi na kuboresha maisha yake ikiwemo kuwa na uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo, viungo kufanya kazi vizuri mfano macho na mikono, kusikia na…
08/01/2021, 10:26
Wakinamama wanao nyonyesha watoto walio chini ya siku 1000 toka kuzaliwa wameshauriwa kuzingatia usafi wa mwili na Mazingira wakati wa kunyonyesha na kuandaa Chakula cha ziada kwa mtoto aliye fika umri wa miezi sita. Akizungumza na Radio Jamii Kilosa katika…
Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu