Recent posts
August 22, 2023, 10:12 am
Mkulima Shinyanga amwangukia Waziri wa Kilimo ukame kwenye mashamba yake
Paul Kayanda amezungumza na mkulima Shauri Elias namna ambavyo anafanya shughuli zake za kilimo sambamba na changamoto zinazomkabili. Na Paul Kayanda Mkulima wa kijiji cha Lyagiti kata ya Lyabukande halmashauri ya Shinyanga vijijini, Shauri Elias Mbelele amemuomba Waziri wa Kilimo…
August 21, 2023, 6:08 pm
Ilindi waomba kata kupunguza safari ndefu kwenda Zongomela
Mwenyekiti wa mtaa wa Ilindi kata ya Zongomela Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Dogo Mheziwa, ameliomba baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kuhalalisha mtaa wa Mwime ya Ilindi kuwa kata inayoweza kujiendesha yenyewe ili kupunguza…
August 4, 2023, 3:39 pm
Afariki, mwingine hoi kwa dawa za nguvu za kiume Kahama
Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Hosam Elias mkazi wa Bukondamoyo kata ya Mhungula Mjini Kahama amefariki dunia huku mwenzake (jina limehifadhiwa) akinusurika kufa baada ya kunywa dawa zilizodaiwa kuongeza nguvu za kiume kwa mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la…
July 25, 2023, 1:59 pm
John Gabriel aeleza changamoto anazopitia baada ya kupata ajali
Mwanaume huyu anayejulikana kwa jina la John Gabriel Mandale mkazi wa kata ya Shunu wilayani Kahama mkoani Shinyanga amejikuta anapitia matatizo makubwa baada ya kupata ajali na kupasuka kichwa alipokuwa akitekeleza majukumu yake ya kikazi huko mkoani Geita Mgodini hali…
July 21, 2023, 1:00 pm
Madiwani Kahama wapongeza kukamilika miradi ya maendeleo
Madiwani wilayani Kahama mkoani Shinyanga wa meipongeza serikali ya awamu ya sita na halmashauri ya wilayani hiyo kwa juhudi za maendelo zinazofanyika katika mwaka wa fedha 2022/2023. Na Misoji Masumbuko, Anas Ibrahim Wameyasema hayo katika kikao cha madiwani cha robo…
July 4, 2023, 2:51 pm
Madiwani manispaa ya Kahama waiomba halmashauri kutenga bajeti ya barabara
Madiwani wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wameiomba halmashauri kutenga bajeti ambayo itasaidia kurekekebisha miundombinu ya barabara zilizopo katika kata ili kupunguza changamoto hiyo kwa wananchi.
July 4, 2023, 10:56 am
Jamii kuishi kwa mazoea chanzo cha magonjwa yasioambukizwa
Wananchi wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamesema magonjwa yasiyoambukizwa yamekuwa ni changamoto kutokana na maisha ya mazoea katika jamii. Na Misoji Masumbuko Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema watu wengi wanaopata magonjwa yasiyoambukizwa hawatambui mapema kutokana na kutokuwa na tabia…
July 3, 2023, 12:24 pm
Wajumbe MTAKUWWA wapanga mikakati kupinga ukatili wa kijinsia
Wajumbe wa kamati ya MTAKUWWA wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekutana katika kikao cha mradi wa Mwanamke Amka ili kujadili mpango kazi ambao utatokomeza ukatili wa kijinsia huku wanaume wakitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa kinachochochea ukatili. Na Misoji Masumbuko Akizungumza wakati…
November 17, 2022, 6:29 pm
Wanafufunzi kidato cha nne watakiwa kuepuka udanganyifu
Wanafunzi wa kidato cha nne wilayani Kahama mkoani Shinyanga waliotahiniwa kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha nne wametakiwa kuepuka udanganyifu kwenye chumba cha mtihani ulioanza hii leo Novemba 14, 2022. Wito huo umetolewa leo Novemba 14,2022 na mkuu wa…
November 9, 2022, 10:12 am
Wananchi Nyandekwa waunga juhudi za maendeleo
Wananchi wa vitongoji vya kigungumli na baseka vilivyopo nyandekwa manispaa ya kahama mkoani shinyanga wameungana kwa ajili ya kuunga juhudi za serikali ya awamu ya sita katika maendeleo kwa kuitisha harambee yenye lengo la ujenzi wa shule ya msingi. Hatua…